RC Makonda: Yeyote anayeenda katika eneo la manunuzi lazima avae barakoa. Kwenye misongamano watu wakae umbali wa mita 2

RC Makonda: Yeyote anayeenda katika eneo la manunuzi lazima avae barakoa. Kwenye misongamano watu wakae umbali wa mita 2

Na ndio maana nikashauri mambo ya korona waachiwe waachiwe wataalamu hawa wanasiasa achilia mbali UJINGA wao pia wanachanganya watu!!

Hivi hapo dsm hakuna dokta wa mkoa? kwanini asiachiwe yeye atoe maelekezo?
Wapi uliona daktari akitoa maelekezo kwa wananchi?
 
Habari:Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bwana Paul Makonda amesema kuanzia Aprili 20 siku ya jumatatu kila mtu atakayepanda Daladala na anayekwenda kwenye eneo la manunuzi yeyote lazima awe amevaa Barako (Mask), pia siku hiyo ya Jumatatu ameelekeza biashara zote zifanyike katika mfumo wa 'Take Away', hivyo mtu akienda sehemu anunue na aondoke.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
barakoa ndiyo kinga namba moja ya korona
japokua serikali inasuasua kuchukua hatua kuhusu uvaaji wa barskoa
kwani virus vya korona vinaambukiza
kutoka kwa mmoja kwenda kwa mwongine
vinapitia mdomoni au puani
maana yake ni kwamba iwapo kila mmoja atavaa barakoa
uwezekano wa mtu kumuambukiza mwingine ni mdogo sana
hizi njia za kutokea vitus lazima zizibwe
yaani mtu akitoka nje ya nyumba yake
iwe ni lazima kuvaa barakoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mulwanaka, Tunahitaji hatua za nchi nzima, sio Dar peke yake ugonjwa umesha enea nchi nzima.....Raisi wangu uko wapi?

Kipimo cha uwezo wa baba ktk familia ni pale yanapotokea matatizo kwenye familia yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom