Atakuwa ameanza kuwa mvivu huyu.Makondo toka kachape kazi,mask ya nini? Umeambiwa huu ugongwa unaenezwa kwa hewa?Yaani mwanaume kamili anaogopa corona...hii ni aibu kwa RC Makonda!
Jack Ma ametoa bure hivi tu eti?
Mnaanza kufanya yaliyokua inabidi yaanze day one!
Acha uvivu,kachape kaziKuvaa barakoa ni muhimu sana tumechelewa mno
Acha ubishi,kachape kaziHamtaki au??
Naibu power yake haiishii Dar tu mkuu,pia hao wanne uliowataja wengine wapo chini yakeWalisema ni watu 4 watatoa maelekezo sasa huyu ni wa 5 au?? Manake inaonekana Dar sijui haikuhusika ?? Ndio mana zinatolewa hapa kauli tofauti kila mara
Kama huvai kujikinga na virusi kwa nini wafanyakazi wa hosptali wanavaa ??Huvai mask ili kujikinga na virusi wewe unaevaa, bali unavaa ili kama unaumwa basi utakapokohoa virusi visiende mbali sana hivyo kupunguza uwezekano wa kuambukiza wengine, hivyo ni muhimu kila mtu avae ili tulindane, umeelewa?
Siku ikikuchapa wewe denooJ hapo nitajua hali ni mbaya kweri kweri!Hii ni dalili maambukizi yamezidi, ukiona hatua kali zinazidi kuchukuliwa ujue hali ni mbaya zaidi ya tunavyodhania/kuambiwa.
Japo jana wamesema wataanza kutuambia ukweli, tujihadhari Corona inatuchapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila Kupata umbea wa Nandy na Nenga hela ya kununua bando unayo! Acheni hizo mambo bana...Katika yale mabilioni yaliyochangwa kudhibiti corona wanunue hizo masks wagawe bure kisha ndiyo waje na hayo maamrisho yao.
Mbona tulisha ambiwa, watoa taarifa wa corona ni fulani na fulani. Huyu Makonda kaingizwa like ni kwenye list?Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bwana Paul Makonda amesema kuanzia Aprili 20 siku ya Jumatatu kila mtu atakayepanda Daladala na anayekwenda kwenye eneo la manunuzi yeyote lazima awe amevaa Barako (Mask)
Poa siku hiyo ya Jumatatu ameelekeza biashara zote zifanyike katika mfumo wa 'Take Away', hivyo mtu akienda sehemu anunue na aondoke.
Kuuliza tokea lini kukawa ni ujinga?
Hivi kweli na akili zako unaenda kanisani kufanya nini?Na kanisani twende na barakoa au
. Tutasalije sasa [emoji23]
Jamani si ibada zisitishwe tu
[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nahic ww ndio mjinga, ujumbe wake ni kwamba wafunge na hizo guests na sehemu zingine zenye mikusanyiko mikubwa kama nyumba za ibada nk.
Hivi kweli na akili zako unaenda kanisani kufanya nini?
Upstairs uko vizuri kweli?
Yani hadi Makonda akuambie usiende kanisani ndio utaacha kwenda?
Hiyo ni imani yako kwani mnalazimishwa kwenda kwenye ibada? Kama wewe ni mkristu mbona zipo nyingi tu online? wewe unangoja kuambiwa ujitahadhari na huu ugonjwa? Kalaga baho!
Hahahah.We jamaa umesoma nlchoandika hapo chini
Naona umenimind knoma [emoji23][emoji23]
Hata mara ya mwisho kwenda chachi sikumbuki
Kuna jamaa angu ndo akanambia ktabu cha mathayo kmefutwa sijui kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanavaa N90, sio vitambaa vya khanga, pia wanajikinga na macho kwa njia mbali mbaliKama huvai kujikinga na virusi kwa nini wafanyakazi wa hosptali wanavaa ??
Surgical mask zinazuia hadi 90% ya virus.. kwahio kama uko kwenye mikusanyiko au uko karibu na mtu anayekohoa ni vyema ukavaa mask ili kujikinga na hizo droplets mtu anazorusha akikohoa au akisneez.
Umeelewa??