RC Makonda: Yeyote anayeenda katika eneo la manunuzi lazima avae barakoa. Kwenye misongamano watu wakae umbali wa mita 2

RC Makonda: Yeyote anayeenda katika eneo la manunuzi lazima avae barakoa. Kwenye misongamano watu wakae umbali wa mita 2

Niko hapa najaribu kubalizi mitaa ya mkoa wa Dar es Salaam na kuangalia kama agizo la mkuu wa mkoa Paul Makonda limezingatiwa la kuvaa barakoa kila anayetoka nyumbani kwake.

Wananchi wameitikia kweli kweli ,si barabarani ,kwenye daladala, sokoni watu wote wamefunga barakoa!
Hii inatuma ujumbe gani kwa Chadema?

Ikumbukwe Mara baada ya Makonda kutoa agizo hilo chadema walianzisha nyuzi mbambali humu za kupinga agizo hilo na kuwashawishi wananchi wampuuze Makonda!

Sasa wananchi badala ya kumpuuza Makonda wamewapuuza chadema na kusababisha wahahe kila kona.

Kwa hali hii ya kupuuzwa na wananchi kila wito wanaotoa chadema kwisha kwisha kabisa ndembendembe na kifo cha chadema ni cha kikatili mno, hamna chama cha siasa kingine kilichowahi kufa kikatili namna hii kwa kupuuzwa na wananchi kila kona.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshirika wenu Lwakatale anawaita , alishangila Zitto kuuawa
 
Kuna waojmbavu kati yenu mbataka kuleta siasa kwenye majanga, hivi unafahamu matokeo ya unachokiandika hapa? Unajua kwamba watu aina ya Makinda walipaswa kujiweka au kuwekwa mbali na hili swala?
Hivi unafahamu kwa maneno na matendo ya viingozi aina ya Makonda kuna wajinga kuliko ninyi wamedhamilia kujiambukiza COVID-19 ili waambukize watu wengi zaidi?

Mnadhani kwa kuandika andika kizembe tu mnamfurahisha mtu lakini hamjui madhara yake?
Jiambukize na wewe basi ili umkomoe Makonda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko hapa najaribu kubalizi mitaa ya mkoa wa Dar es Salaam na kuangalia kama agizo la mkuu wa mkoa Paul Makonda limezingatiwa la kuvaa barakoa kila anayetoka nyumbani kwake.

Wananchi wameitikia kweli kweli ,si barabarani ,kwenye daladala, sokoni watu wote wamefunga barakoa!
Hii inatuma ujumbe gani kwa Chadema?

Ikumbukwe Mara baada ya Makonda kutoa agizo hilo chadema walianzisha nyuzi mbambali humu za kupinga agizo hilo na kuwashawishi wananchi wampuuze Makonda!

Sasa wananchi badala ya kumpuuza Makonda wamewapuuza chadema na kusababisha wahahe kila kona.

Kwa hali hii ya kupuuzwa na wananchi kila wito wanaotoa chadema kwisha kwisha kabisa ndembendembe na kifo cha chadema ni cha kikatili mno, hamna chama cha siasa kingine kilichowahi kufa kikatili namna hii kwa kupuuzwa na wananchi kila kona.

Sent using Jamii Forums mobile app

Yan kuna watu hata wake zao wakiongeza chumvi kwenye chakula kwa bahati mbaya watasema chadema inahusika
 
Kwa hali hii lazima Lumumba mdharaulike mbona mnamuabisha katibu wenu polepole au lazima kuanzisha Uzi ukosoe na chadema
 
Yaani akili zako umeziacha nyumbani waoshee vyombo umekurupuka to mpaka town box tupu unaongea upuuzi. Kuweni serious kwenye mambo ya msingi kama haya, siasa ina wakati wake kwa sasa priority ni CORONA watu tunahangaika hatujui kesho itakuwaje hlf mnaleta mzaha namna hii! Bitch!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom