Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kwani CHADEMA walisema watu wasivae Barakoa!!We kweli kilaza sasa ulitaka watu wasijikinge kwa kuwasikiliza chadema acha ulofa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani CHADEMA walisema watu wasivae Barakoa!!We kweli kilaza sasa ulitaka watu wasijikinge kwa kuwasikiliza chadema acha ulofa
Who knows!!??Crown imekula?
Mshirika wenu Lwakatale anawaita , alishangila Zitto kuuawaNiko hapa najaribu kubalizi mitaa ya mkoa wa Dar es Salaam na kuangalia kama agizo la mkuu wa mkoa Paul Makonda limezingatiwa la kuvaa barakoa kila anayetoka nyumbani kwake.
Wananchi wameitikia kweli kweli ,si barabarani ,kwenye daladala, sokoni watu wote wamefunga barakoa!
Hii inatuma ujumbe gani kwa Chadema?
Ikumbukwe Mara baada ya Makonda kutoa agizo hilo chadema walianzisha nyuzi mbambali humu za kupinga agizo hilo na kuwashawishi wananchi wampuuze Makonda!
Sasa wananchi badala ya kumpuuza Makonda wamewapuuza chadema na kusababisha wahahe kila kona.
Kwa hali hii ya kupuuzwa na wananchi kila wito wanaotoa chadema kwisha kwisha kabisa ndembendembe na kifo cha chadema ni cha kikatili mno, hamna chama cha siasa kingine kilichowahi kufa kikatili namna hii kwa kupuuzwa na wananchi kila kona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiambukize na wewe basi ili umkomoe MakondaKuna waojmbavu kati yenu mbataka kuleta siasa kwenye majanga, hivi unafahamu matokeo ya unachokiandika hapa? Unajua kwamba watu aina ya Makinda walipaswa kujiweka au kuwekwa mbali na hili swala?
Hivi unafahamu kwa maneno na matendo ya viingozi aina ya Makonda kuna wajinga kuliko ninyi wamedhamilia kujiambukiza COVID-19 ili waambukize watu wengi zaidi?
Mnadhani kwa kuandika andika kizembe tu mnamfurahisha mtu lakini hamjui madhara yake?
Yaani hawa watu, ni wapuuzi uliopitiliza!Kwa hiyo mnatekeleza hayo kwa ajili ya chadema na sio kwa ajili ya usalama wa afya za watu na taifa kwa ujumla
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko hapa najaribu kubalizi mitaa ya mkoa wa Dar es Salaam na kuangalia kama agizo la mkuu wa mkoa Paul Makonda limezingatiwa la kuvaa barakoa kila anayetoka nyumbani kwake.
Wananchi wameitikia kweli kweli ,si barabarani ,kwenye daladala, sokoni watu wote wamefunga barakoa!
Hii inatuma ujumbe gani kwa Chadema?
Ikumbukwe Mara baada ya Makonda kutoa agizo hilo chadema walianzisha nyuzi mbambali humu za kupinga agizo hilo na kuwashawishi wananchi wampuuze Makonda!
Sasa wananchi badala ya kumpuuza Makonda wamewapuuza chadema na kusababisha wahahe kila kona.
Kwa hali hii ya kupuuzwa na wananchi kila wito wanaotoa chadema kwisha kwisha kabisa ndembendembe na kifo cha chadema ni cha kikatili mno, hamna chama cha siasa kingine kilichowahi kufa kikatili namna hii kwa kupuuzwa na wananchi kila kona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui kuwa wanaomba serikali ifeli kwenye kudhibiti hili janga ili wapate kick?CHADEMA wanahaha kwa lipi?
Huyo kakurupuka asubuhi hii uvccm waliwekeana mikakati wakiamka tuu walete habari hii baada ya kulipwa buku7 huko Lumumba. Hajui hata kuwa Mbunge wake amekufa kwa Corona, hii Chadema inawapa shida sana hawa Mataga.CHADEMA wanahaha kwa lipi?
Tunazungumzia barakoa. Kuna kiongozi yeyote wa CHADEMA alisema kwamba watu wasivae barakoa?Hujui kuwa wanaomba serikali ifeli kwenye kudhibiti hili janga ili wapate kick?
Hii inaingia vipi hapa?RIP Gertrude Rwakatare
Nimepokelea hapari za msiba ha kwenye uzi huu baada ya kulog inHii inaingia vipi hapa?
Wewe ni mdhibiti maudhui wa JF?Hii inaingia vipi hapa?
Acha mlengwa ajibu swali. Na bahati nzuri hajaamka na hangover amejibu vizuri, tulia kimya.Wewe ni mdhibiti maudhui wa JF?