RC Mboni: Tunamshukuru Rais Samia kutujengea hospitali ya Rufaa ya Mwawaza kwa TZS10bn wagonjwa wengi wa rufaa kwenda Mwanza Bugando walifia njiani

Mwanahabari Huria

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2025
Posts
406
Reaction score
308
1754292324537.png

==
Akiongea na Wanahabari Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga anasema, Katika kipindi cha miaka minne ya Rais Samia, Mkoa wa Shinyanga umefanikiwa katika kujenga na kuboresha miundombinu ya afya kwa kiasi kikubwa ikiwemo Kukamilisha Hospitali ya Rufaa ya Mwawaza kwa zaidi ya TZS10 bn, hospitali za Wilaya zimeongezeka kutoka 2 mwaka 2020 hadi 7 mwaka 2025.

Vituo vya afya vimeingezeka kutoka 25 mwaka 2020 hadi 38 mwaka 2025 pia idadi ya Zahanati imeongezeka kutoka 226 mwaka 2020 hadi 277 mwaka 2025 aidha watumishi wa kada ya afya wameongezeka Mkoani Shinyanga kutoka 2,104 mwaka 2020 na kuwa 2,812 2025 ikiwa ni sawa na ongezeko la watumushi 708, Hata hivyo mkoa umetumia jumla ya TZS79bn.​
 
View attachment 3429461

Katika kipindi cha miaka minne ya Rais Samia, Mkoa wa Shinyanga umefanikiwa katika kujenga na kuboresha miundombinu ya afya kwa kiasi kikubwa ikiwemo Kukamilisha Hospitali ya Rufaa ya Mwawaza kwa zaidi ya TZS10 bn, hospitali za Wilaya zimeongezeka kutoka 2 mwaka 2020 hadi 7 mwaka 2025. vituo vya afya vimeingezeka kutoka 25 mwaka 2020 hadi 38 mwaka 2025 pia idadi ya Zahanati imeongezeka kutoka 226 mwaka 2020 hadi 277 mwaka 2025 aidha watumishi wa kada ya afya wameongezeka Mkoani Shinyanga kutoka 2,104 mwaka 2020 na kuwa 2,812 2025 ikiwa ni sawa na ongezeko la watumushi 708, Hata hivyo mkoa umetumia jumla ya TZS79bn.
hongera sana mama Samia
 
Hongera kwake kwakua engineer na mjenzi!!
 
Acheni kunga unga habari kama mnaowaambia wote ni vichaa hiyo hospital ya mwawaza au negezi ujenzi wake umeanza tangu enzi za kikwete mwishoni

Sasa leo badala ya kuomba samahani wananchi kwa ucheleweshwaji wake katika kukamilika mnasema sa100 sijui kafanya nini.acheni hizo habari zenu za uongo uongo who is sa100 after all katika huo mradi?

Nimefika hapo mwawaza /Negezi mwaka 2014 ujenzi ulikuwa uanendelea mnashukuru nini mradi umechukua karne kumalizika. Ngoja niendlee kutafuna pweza wangu hapa pemba mnazi habari za maCCM zinakera. Tunaomba na uongo wa kufulila maana we ndo mhabarishaji wao
 
Uongo
 
Waambie ukweli Hawa machawa uchwara hawajitambui kabisa!
 
View attachment 3429461

Katika kipindi cha miaka minne ya Rais Samia, Mkoa wa Shinyanga umefanikiwa katika kujenga na kuboresha miundombinu ya afya kwa kiasi kikubwa ikiwemo Kukamilisha Hospitali ya Rufaa ya Mwawaza kwa zaidi ya TZS10 bn, hospitali za Wilaya zimeongezeka kutoka 2 mwaka 2020 hadi 7 mwaka 2025. vituo vya afya vimeingezeka kutoka 25 mwaka 2020 hadi 38 mwaka 2025 pia idadi ya Zahanati imeongezeka kutoka 226 mwaka 2020 hadi 277 mwaka 2025 aidha watumishi wa kada ya afya wameongezeka Mkoani Shinyanga kutoka 2,104 mwaka 2020 na kuwa 2,812 2025 ikiwa ni sawa na ongezeko la watumushi 708, Hata hivyo mkoa umetumia jumla ya TZS79bn.
Ni ujinga kwa RC kuacha jukumu lake la utendaji ndani ya serikali ambayo inamlipa mshahara na kujikita na siasa za uchawa kwa CCM.
 
View attachment 3430718

Katika kipindi cha miaka minne ya Rais Samia, Mkoa wa Shinyanga umefanikiwa katika kujenga na kuboresha miundombinu ya afya kwa kiasi kikubwa ikiwemo Kukamilisha Hospitali ya Rufaa ya Mwawaza kwa zaidi ya TZS10 bn, hospitali za Wilaya zimeongezeka kutoka 2 mwaka 2020 hadi 7 mwaka 2025. vituo vya afya vimeingezeka kutoka 25 mwaka 2020 hadi 38 mwaka 2025 pia idadi ya Zahanati imeongezeka kutoka 226 mwaka 2020 hadi 277 mwaka 2025 aidha watumishi wa kada ya afya wameongezeka Mkoani Shinyanga kutoka 2,104 mwaka 2020 na kuwa 2,812 2025 ikiwa ni sawa na ongezeko la watumushi 708, Hata hivyo mkoa umetumia jumla ya TZS79bn.
kazi nzuri sana hii
 
Back
Top Bottom