RC Mboni: Tunamshukuru Rais Samia kutujengea hospitali ya Rufaa ya Mwawaza kwa TZS10bn wagonjwa wengi wa rufaa kwenda Mwanza Bugando walifia njiani

RC Mboni: Tunamshukuru Rais Samia kutujengea hospitali ya Rufaa ya Mwawaza kwa TZS10bn wagonjwa wengi wa rufaa kwenda Mwanza Bugando walifia njiani

unafahamu maana ya Hospitali ya Rufaa?
Hospitali zote za Mikoa zilibadirishwa majina mwishoni wa awamu yw JK na kuwa hospitali za Rufaa za Mikoa na wakaanza na huduma za msingi za kibibgwa kama Uoasuaji, Watoto, Magonjwa ya wanawake na uzazi na ziwe kama Refarral Facility kutoka huko DH ba HC ila kimsingi bado uwezo wake sio mkubwa mkuu wangu hizo Refarral bado zipo na zitaendelea kuwepo maana hata hiyo BMC kuna baadhi ya huduma watu wanapewa Refarral kwenda JKCI na MOi sana tu
 
Mzee huo ndio ukweli hiyo Ya Negezi kuna Ya Singida na Ile Ya Musoma ndio Balala zinechukua karibia miongo mi4 ndio imekuja kukamilika utawala wa JPM
Mwambie huyo andazi hakuna anachojua ni kupuyanga tu
 
Andika na wewe utalipwa
20240929_170116.jpg
 
Acheni kunga unga habari kama mnaowaambia wote ni vichaa hiyo hospital ya mwawaza au negezi ujenzi wake umeanza tangu enzi za kikwete mwishoni

Sasa leo badala ya kuomba samahani wananchi kwa ucheleweshwaji wake katika kukamilika mnasema sa100 sijui kafanya nini.acheni hizo habari zenu za uongo uongo who is sa100 after all katika huo mradi?

Nimefika hapo mwawaza /Negezi mwaka 2014 ujenzi ulikuwa uanendelea mnashukuru nini mradi umechukua karne kumalizika. Ngoja niendlee kutafuna pweza wangu hapa pemba mnazi habari za maCCM zinakera. Tunaomba na uongo wa kufulila maana we ndo mhabarishaji wao
Uchawa umezidi, Kila kitu Samia, Samia, Samia, hadi aibu
 
View attachment 3430718

Katika kipindi cha miaka minne ya Rais Samia, Mkoa wa Shinyanga umefanikiwa katika kujenga na kuboresha miundombinu ya afya kwa kiasi kikubwa ikiwemo Kukamilisha Hospitali ya Rufaa ya Mwawaza kwa zaidi ya TZS10 bn, hospitali za Wilaya zimeongezeka kutoka 2 mwaka 2020 hadi 7 mwaka 2025. vituo vya afya vimeingezeka kutoka 25 mwaka 2020 hadi 38 mwaka 2025 pia idadi ya Zahanati imeongezeka kutoka 226 mwaka 2020 hadi 277 mwaka 2025 aidha watumishi wa kada ya afya wameongezeka Mkoani Shinyanga kutoka 2,104 mwaka 2020 na kuwa 2,812 2025 ikiwa ni sawa na ongezeko la watumushi 708, Hata hivyo mkoa umetumia jumla ya TZS79bn.
HAYA YOTE YANA FUNIKWA NA DAMU ZA WATU ALIZO MWAGA KISA MADARAKA

DAMU NI NZITO KULIKO CHOCHOTE
 
RC ni mwanachama wa CCM
Hata mashehe na wachungaji nao pia, ila RC ni mtumishi wa serikali na hatakiwi kuzozana na wana siasa kama alivyokuwa akifanya Makonda kuzozana na mbunge halali aliyechaguliwa na wananchi, hilo ni ombwe la uongozi.
 
View attachment 3430718

Katika kipindi cha miaka minne ya Rais Samia, Mkoa wa Shinyanga umefanikiwa katika kujenga na kuboresha miundombinu ya afya kwa kiasi kikubwa ikiwemo Kukamilisha Hospitali ya Rufaa ya Mwawaza kwa zaidi ya TZS10 bn, hospitali za Wilaya zimeongezeka kutoka 2 mwaka 2020 hadi 7 mwaka 2025. vituo vya afya vimeingezeka kutoka 25 mwaka 2020 hadi 38 mwaka 2025 pia idadi ya Zahanati imeongezeka kutoka 226 mwaka 2020 hadi 277 mwaka 2025 aidha watumishi wa kada ya afya wameongezeka Mkoani Shinyanga kutoka 2,104 mwaka 2020 na kuwa 2,812 2025 ikiwa ni sawa na ongezeko la watumushi 708, Hata hivyo mkoa umetumia jumla ya TZS79bn.
Kazi ni nzuri sana
 
Back
Top Bottom