#COVID19 RC Mghwira: Kifo cha Arthur Shoo ni udhihirisho kuwa Corona imerudi hivyo wananchi chukueni tahadhari!

#COVID19 RC Mghwira: Kifo cha Arthur Shoo ni udhihirisho kuwa Corona imerudi hivyo wananchi chukueni tahadhari!

Ndiyo Ukweli Wenyewe
Nasema Uongo Ndugu Zangu
 
Najua yule Meya atampinga huyo Mkuu wa Mkoa
 
Aisee !!!!

Huyu mama si majuzi tu alisema hali ni Shwari? Au alingoja Askofu afe ili a-confirm ushwari wa mambo?, Au Alingoja Marathon iishe ? Au ugonjwa umeingia jana ?

Hamna mfuasi wa kibwetere mwenye akili. Wote wanatii kama atakavyo kibwetere.
 
Technically kwa Imani yake si kule ni bora na panafaa kuliko huku ?, Sasa kwanini asifurahie mwenzake kwenda sehemu bora zaidi ?

Unless......
Hawa wanaipenda na kuikumbatia zaidi dunia kuliko Mbingu.
 
Nyungu na maombi ndio tahadhari zenyewe bwashee!

Zile hazikutajwa kama tahadhari, bali zilikuwa zinatangazwa kama mbinu sahihi za kupambana na Corona mpaka ikapotea. Wakati watu wanalishwa ule ujinga tulikuwa tunacheka kwa nguvu.
 
Eti umerudi tena,ulienda wapi? Upo na auondoki kwa maombi, utaisha kwa hatua za kiafya namna ya kujikinga, naamini uwepo wa Mungu, ila si kwa kukemea magonjwa halafu unamhusisha Mungu,hapana!
 

Yaani hii nchi sasa hivi imekuwa ni Mali ya mtu mmoja magufuli akisema vuweni nguo covid itaondoka basi wote tutalazimishwa tufanye hivyo na hao aliyowaokota majalalani kama wanavyosema wenyewe hii leo kila mmoja anazungumzia korona kwa sababu magufuli amekubali kwamba ipo baada ya kufiwa na vipenzi vyake na cku magufuli akiamua kuvaa barakoa basi tutaona kila kiongozi kuvaa barakoa serikali hii ni unafiki mtupu.
 
Back
Top Bottom