nyampanaga
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,104
- 559
Alikuwa hajakaa na Kamati Ya ulinziAliposema K'njaro hakuna Covid 19 na maiti zinatoka mikoa mingine alimaanisha nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa hajakaa na Kamati Ya ulinziAliposema K'njaro hakuna Covid 19 na maiti zinatoka mikoa mingine alimaanisha nini?
Aisee !!!!
Huyu mama si majuzi tu alisema hali ni Shwari? Au alingoja Askofu afe ili a-confirm ushwari wa mambo?, Au Alingoja Marathon iishe ? Au ugonjwa umeingia jana ?
Imani bila sayansi ni ushirikinaTulishaweka kando sayansi, tukahamia kwa wanasiasa. Pathetic.
Nyungu na maombi ndio tahadhari zenyewe bwashee!Ile porojo ya nyungu na maombi ya siku tatu naona imefikia mwisho rasmi.
Hawa wanaipenda na kuikumbatia zaidi dunia kuliko Mbingu.Technically kwa Imani yake si kule ni bora na panafaa kuliko huku ?, Sasa kwanini asifurahie mwenzake kwenda sehemu bora zaidi ?
Unless......
Nyungu na maombi ndio tahadhari zenyewe bwashee!
Alitaka isambae vizuri mpaka migombani ndanindani ndio akubaliAngethubutu kusema corona ipo kabla ya Kili Marathon kibarua kingeota nyasi!
..Hata leo ameonekana katika mkusanyiko huo wa ibada ya huyo kiongozi wa kanisa akiwa hana hata Barakoa (nadhani nae anamwogopa Meko)Juzi aliendabkuzindua Kili Marathoni bila tahadhari
Cha muhimu wewe chukua tahadhari!..Hata leo ameonekana katika mkusanyiko huo wa ibada ya huyo kiongozi wa kanisa akiwa hana hata Barakoa (nadhani nae anamwogopa Meko)
Mzee ukiamini kauli za maccm "wagenda..." za kuambiwa....Juzi aliendabkuzindua Kili Marathoni bila tahadhari
Tomaso syndromeTatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
Wewe ulitakaje?Mbeya ambulance zipo busy balaa