Tetesi: RC Mnyeti kufukuzwa kazi!

Cd akabaki tena kwa kuongezewa madaraka, unajua ni kwanini alipelekwa juu zaidi?....... Takukuru mfukoni alipokuwa mdogo sasa wakumgusa atakuwa ni yuleeeee...
 

Tetesi za kweli ni kuwa Atapandishwa Cheo.
 
mshaharibuuuu............sanasana ndio atapandishwa cheo
 
Serikali hii kama ya kambare baba ana masharubu,mama ana masharubu hadi watoto wana masharubu
 
Hakuna kitu hapo.Huyo RC ametoa picha jinsi serkali ilivyo kwasasa.
 
Mmm sio rahisi kihivyo kwanza yule jamaa anaringia cheo si mnajua yuko kule upande wapili?
 
Makonda katukana watu wazima juzi mpaka wengine wamepata kifafa lakini yupo tu anadunda sembise Nyeti
 
Hivi huko manyara hakuna hata wakali wa kudungua kwa kutumia mishale yenye sumu na kupotelea maporini?...ni heri hata kauli za kikoloni zilikuwa na uafadhali kuliko hizi!idiot kabisa!
 
Hivi huko manyara hakuna hata wakali wa kudungua kwa kutumia mishale yenye sumu na kupotelea maporini?...ni heri hata kauli za kikoloni zilikuwa na uafadhali kuliko hizi!idiot kabisa!
wale wasichana wa Biko Haram
 
F
Forget about that
 
Huyo kaka ni moja wa mashithole vipenzi vya mkuu wao, na akili zake za kipumbavu ni taswira halisi ya akili za mamlaka iliyomwajiri!
 
Sidhani. Hizo ni fikira zako tu.
Ingalikuwa rahisi kiasi hicho Bashite leo asingelikuwa kazini.
 
Ujinga mwingine mnatulerea.Mlishindwa kumfitini Olesendeka juzijuzi hapa sasa mnaibua mengine.Najua mmeanza kupagawa Kinondoni na Siha.Ngoja kwanza mgaragazwe halafu ndio tuongee mambo mengine.Sasa hivi hatusikilizi ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…