RC Mtaka ataja makabila 5 yanayokuza Uchumi wa Sekta Binafsi Tanzania


Pitia na hyo
 
 
Mzawa unamaanisha mwafrica au. Coz mwarabu yupo hapa karibu miaka mia 5 sasa wakati inawezekana kuna waafrica wamehamia wakawakuta
Namaanisha Sisi wenyeji weusi kama wazaramo, waha,wamatumbi tumeelewana?
 
Hyo ni acknowledgement SIO ukabila
Punguza chuki
Chuki kwenye nini?? Yani nichukie mtu kisa ni kabila fulani?? Naweza kuwa mpumbavu lakini Sina upumbavu wa namna hiyo. Njaa/umasikini anaoupata mmatumbi ndio njaa hiyo hiyo inayompata mpogoro, elfu 10 anayomiliki mzaramo thamani yake ndio ile ile ya elfu 10 anayomiliki mjita, acheni fikira duni.
 
Sintaongelea wengine. Lakini Wakinga kwangu hawana maana kwa sababu pamoja na utajiri wao, hawana social life kwa kuwa wanapata utajiri kwa masharti ya kishirikina
 
Actuary, kuna kabira, lipo north western part ya Tanzania, ni watu Brilliant sana, mbona sijawawona !
 
Sintaongelea wengine. Lakini Wakinga kwangu hawana maana kwa sababu pamoja na utajiri wao, hawana social life kwa kuwa wanapata utajiri kwa masharti ya kishirikina
Tajiri na social life wapi na wapi? Hana mda
 
Kama Waha ndio wale wenyeji wa Kigoma, akumbushwe kuwa Kigoma ni mkoa wa Pili kama sio wa tatu kwa umasikini Tanzania yote!
Ulitaka wafanye harambee za pesa zao binafsi ndio wakajengee miundombinu ya uchumi ambayo Serikali imeamua Kwa Makusudi kutoipeleka Kigoma? Ndio maana wamekimbia wakaenda kuchukua pesa kwingine na wanazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…