RC Rose: Mkoa wa Chato utakuwa na wilaya 5 Kakonko, Biharamulo, Ngara, Bukombe na Chato yenyewe

Hizo wilaya zinazounda mkoa wa Chato ni wilaya zilizokaliwa na warundi na wanyarwanda kuanzia Lafudhi hadi mila na desturi.
Kama za Mkoa wa Mara zilivyokaliwa na wajaluo (Kenya) , Arusha wamasaai (Kenya) Mtwara na Lindi wamakonde (Nchumbiji) - Ruvuma wangoni na wayao (Malawi) - Kilimanjaro pia na Kagera upande wa mpakani na Uganda! Pia Mpanda,Katavi, Sumbawanga (Zambia) - Kigoma wamanyema (DRC).
Kwa hiyo Usishangae warundi na wanyarwandwa kuwapo. Ubaguzi ulishindwa hata Africa ya Kusini wakati wana bomu la nyuklia! Sembuse ubaguzi wako wa chuki tu na ujinga! Shame on you!
 
Vile kivuli cha Kayafa kinaendelea kudai mkoa wa Chato kupitia Samia!😄😄😄
 
ujinga mtupu Ujinga huo hauwezi kufanyika, hizi sasa si zama za JİWE
halafa sasa kwanini huo mkoa upewe jina la chato?
kwanini wasiupe jila la biharamulo?
Lengo alipitisha mwendazake.. Alitaka mpaka Muleba iwe kwenye mkoa wa Chato
 
Waache upupu ...
 
ujinga mtupu Ujinga huo hauwezi kufanyika, hizi sasa si zama za JİWE
halafa sasa kwanini huo mkoa upewe jina la chato?
kwanini wasiupe jila la biharamulo?
Twambie kamanda.unatesekea wap muda huu baada ya hyo taarifa.hahahaha
 
Sijajua hili wazo la kuanzisha Mkoa linalenga nini. Kama ni Maendeleo ni heri kuongeza Halmashauri kuliko Mkoa. Tupunguze siasa zisizo na maana
 

Upuuzi mtupu!! Kuongeza gharama tu za uendeshaji wa nchi.
 
RC Rose ni kilaza sana. Kuna mikoa kama Morogoro au Tabora inayotakiwa kugawanywa sio Geita. Hiyo Geita yenyewe imetokea Mwanza. Acheni ulofa na upumbavu!
 
Wachukue na wilaya zote zinazovuka maji za Mwanza zihamie huko, Sengerema na Ukerewe, Mwanza ni kubwa sana, waendelee kugawa na mikoa mingine hata dar waigawe mara mbili maana kwa Tanzania maendeleo yanafika vijijini haraka kwa njia hiyo mikoa mipya na kuipa maendeleo ya mikoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…