Mzee wa old school
JF-Expert Member
- May 16, 2021
- 873
- 1,405
Shida yako ni unafiki na kujipendekeza.... Sasa chato ikitangulia kuwa mkoa unapungukiwa nini..? Na itifaki gani kama sio chuki tu zisizo na sababu....Hivi bado Kuna wakuu wa mikoa ambao wana hamu sana ya kupigwa mti kimasihara?
Unawezaje kuja na hayo mapendekezo?
Hivi tunajua gharama za kuanzisha mkoa mpya na kuuendesha?
Kabla ya Chato kuwa mkoa, nadhani uindwe kwanza hii mikoa.
1. Butiama.
2. Kisarawe.
3. Lupaso.
4. Msoga.
Itifaki ni muhimu kuzingatiwa kwanza.