Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Game plan ya leo. Tusiende na matokeo uwanjani. Tumuheshimu mpinzani wetu. Bvb wanacheza kitimu. Hawachezi na majina. Sisi tufanye kimoja tuu tuwaache wadominate mchezo ili kusoma udhaifu wao. Sisi ni long balls ikikataa hii plan ya long balls ni kuanza kupiga pass naamini bvb kwenye kupiga pass fupi fupi hawauwezi huu mchezo.
Ikiwezekana leo tuwe na NATURAL NINE tumalize kazi fasta.
 

Game tunashinda Hii Japo Kwa mbinde, hata Kwa penalty leo tunaua MTU.
 
Picha hii ilichukuliwa usiku wa saa saba kwa saa za afrika mashariki siku ya tarehe 2/6/2024
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…