Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Game plan ya leo. Tusiende na matokeo uwanjani. Tumuheshimu mpinzani wetu. Bvb wanacheza kitimu. Hawachezi na majina. Sisi tufanye kimoja tuu tuwaache wadominate mchezo ili kusoma udhaifu wao. Sisi ni long balls ikikataa hii plan ya long balls ni kuanza kupiga pass naamini bvb kwenye kupiga pass fupi fupi hawauwezi huu mchezo.
Ikiwezekana leo tuwe na NATURAL NINE tumalize kazi fasta.
 
#Decimoquinta!!
Hello Madridistas, ni matumaini yangu mmeamka na mzuka mwingi, natumaini pia vijana wetu wapo poa sana tayari kwa kupambania club yetu hapo baadae usiku.
Kama kawaida game kama hizi zinakujaga na feelings tofauti tofauti owa kila mmoja wetu., mie bana kadri muda utanavyokua unaenda presha huwa inakuwa inaongezeka pia mpka dakika 30 za mchezo kipindi cha kwanza ndio huwa ninapataga ahueni, na hapo poa inategemea na team jinsi inavyocheza.
Niwatakie kila lililo jema Wakuu., Hopefully baadae tutashangilia ushindi.
#HalaMadrid!!

Game tunashinda Hii Japo Kwa mbinde, hata Kwa penalty leo tunaua MTU.
 
IMG-20240601-WA0005.jpg

Kila la kheri.

#HalaMadrid!
 
Game plan ya leo. Tusiende na matokeo uwanjani. Tumuheshimu mpinzani wetu. Bvb wanacheza kitimu. Hawachezi na majina. Sisi tufanye kimoja tuu tuwaache wadominate mchezo ili kusoma udhaifu wao. Sisi ni long balls ikikataa hii plan ya long balls ni kuanza kupiga pass naamini bvb kwenye kupiga pass fupi fupi hawauwezi huu mchezo.
Ikiwezekana leo tuwe na NATURAL NINE tumalize kazi fasta.
Picha hii ilichukuliwa usiku wa saa saba kwa saa za afrika mashariki siku ya tarehe 2/6/2024
20240531_134903.jpg
 
Back
Top Bottom