Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,352
- 2,160
Ilikua best Academy but now hakuna kitu...acha kuropokwa mkuu, hivo vitoto unavyosema havijuulikani ndio barca yenyewe, best academy in the world, na hajaanza kuwapanga yeye wapo toka last season wanacheza.
Kupangwa Msimu uliopita Sio inshu...acha kuropokwa mkuu, hivo vitoto unavyosema havijuulikani ndio barca yenyewe, best academy in the world, na hajaanza kuwapanga yeye wapo toka last season wanacheza.
Ilikua best Academy but now hakuna kitu...
Na kwann Kila uki quote unatumia kauli chafu kama tumegombana?
Unashindwa kujenga hoja au kupinga ama kutetea hoja zakibBila kiunganishi cha kauli mbovu?
Fermin Lopez huyu huyu ambae thamani yake haifiki hata euro m 50?now haina kitu? biggest new talents right now kwenye dunia yamal na Fermin Lopez wametokea wapi? be serious dude
Fermin Lopez huyu huyu ambae thamani yake haifiki hata euro m 50?
Kwahyo walowatoa Musiala, witz, Gernacho, Palmer, Diaz , Bellingham Greenwood, Camavinga, Tshuaminen wasemaje?
Au wote hawa hawakutoka academy?
Au walitoka La masia?
Wewe jamaa unajua mpira kabisa.hakuna mchezaji mmoja anaeweza kuipa kombe taji la world cup au hata kuipeleka world cup timu, football ni team game na sio mchezaji mmoja, ila je performance zao wao kama wao haziridhishishi? unauliza goli 80 zimeinufaishi nini poland? ni mashindano mangapi ya kimataifa Poland imeweza kushiriki ikiwa na lewa ndani yake? hayo magoli 100 wanaiyosifiwa messi na ronaldo unayajua na wao wameyafunga kwenye mechi ngapi?
Vini na rodrygo waamekuwa waki perfume poor ndani ya Brazil hilo halina utetezi mkuu.
Nimemruka kwa sababu yeye ndio top talent pekee kwa sasa tokea la masia.mbona yamal unamruka kutika masimulizi yako? na kwa kujalizia tu kuna Pedri, Gavi, Balde
Nimemruka kwa sababu yeye ndio top talent pekee kwa sasa tokea la masia.
Huyo pedri hajakulia la masia, Bali kasajiliwa na kwenda barca ya wakubwa.
Hao kina Gavi wa kawaida tu kama ilivyokua Dani Ceballos huwezi kuniambia ni most talented player
Ndio sababu na mm ninekutajia top talent mmoja mmoja ambao wamezalishwa academy tofauti totauti na hazitajwi kama wewe unavyosema et la masia is the Best Academy of the world now.
kwa kutoa mchezaji mmoja!!!!
Kabisa mkuu naona leo tunamiliki Eneo la kati angalau na Michakato ya kutafta nafasi inafanyika.modric akiwemo uwanjani timu inakuwa nyengine kabisa