Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,352
- 2,160
Ilikua best Academy but now hakuna kitu...acha kuropokwa mkuu, hivo vitoto unavyosema havijuulikani ndio barca yenyewe, best academy in the world, na hajaanza kuwapanga yeye wapo toka last season wanacheza.
Na kwann Kila uki quote unatumia kauli chafu kama tumegombana?
Unashindwa kujenga hoja au kupinga ama kutetea hoja zako Bila kiunganishi cha kauli mbovu?