Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Ancelloti huwa ana shida kwenye kuamini,yaani akiweka imani kwa mchezaji fulani hata kama akizingua uwanjani huwezi kumshauri kitu akakuelewa, last anafukuzwa alikuwa na shida hiyo hiyo., Valverde kwasasa kiwango chake kimeshuka sana, Ceballos alikuwa na mchezo mzuri, akamtoa.,
Anachofanya kwa Mbappé sio kumuongezea Confidence bali kumpa presha, kama inawezekana apewe muda wa kuadapt, kucheza dakika kadhaa sio lazima kucheza zote 90 hata kama hana impact yoyote uwanjani.,
Acha tuone itakuwaje huko mbeleni
 
Huyu Mbappe anashida mahali, sio kawaida kiukweli.

Game yake itabadilika tu, nakumbuka kuna watu walikuwa wanadai auzwe Benzema abaki Higuain. Kilichosaidia ni kwamba Perez ni mvumilivu sana, mpaka leo hii Benzema ni legend.
Au unakumbuka jinsi tulivyomvumilia Vinicius Jr mpaka akaipata game yake? Vini aliku anakera
 
Vinicius ilikuwa ni kituko, aafanya kazi nzuri, halafu anatoa boko pasi ya mwisho, kuna wakati mpka Benzema akamuona kama mpinzani.,
Acha huyu Mbappe na yeye tumpe nafasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…