Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Huyu mtoto ni ujinga sana unamtawala,inabidi mechi dhidi ya Valencia asiwe anapangwa kwa sababu toka msimu uliopita alikuwa hachezi na badala yake anavurugana nao.yy

Dah huyu mjomba tabia zake kama demu rafiki yangu. Sasa hivi washamjua wanamchokoza hata kwa maneno kidogo tu anamwaga tantrums, bwege sana yule jamaa
 
Tunahitaji full backs wa 2, kama TAA na A.DAVIES wakija itakuwa vizuri sana. Then tupate defensive midf. Mmoja wa kuongeza nguvu katikati...

DM mwengine wanini mkuu? timu tayari in DM wawili wa kiwango cha juu
 
Bahati ilikuwa upande wetu, mechi tulishaipoteza kwa kukosa Penalty na Red card ya kipuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…