Real Madrid (β€ŽLos Blancos) | Special Thread

Ama kweli mpira si pesa

Lile kosi la Madrid thamani yake unanunua vikosi vitatu vya Barcelona😁😁😁😁
Hakuna wa kukaba wote mabishoo πŸ˜€πŸ˜€

Belngham anatembea km dime la nyani
Mbape hataki aguswe unamchafua πŸ˜€πŸ˜„
Vin ukimgusa anakupiga ngumi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜„

Timu linaishi kwa kuhonga marefa
 
Ilikuwa ni swala la muda tu,kupata aibu ya mwaka...sasa ni Perez aamue au uchaguzi watu wamlambe kichwa..huwez kufungwa mara mbili mfululizo tena kwa idadi kubwa ya magoli namna hii..
Perez anawatumia chawa wake kupiga mkwara I'll asipate mpinzan kwenye uchaguzi ni km ccm kule Tanzania πŸ˜„πŸ˜„
 
Kenge nyie ilikuwa zifike saba bahati yenu. Nawachukia sana akitoka shetani na ccm mnafata nyie kwa kuwachukia.
 
Tchouameni alifikaje Madrid?

Camavinga is brainless hana akili hata kidogo. Sijawahi kumuelewa.

LV can't defend to save his life.

Rudiger alikua out of position kila mara.

Mendy is way past his prime.

Hakuna mid creative kama Kroos au Modric. Kila game siku hizi ni kama fainali hata last game tumefunga magoli extra time.
 
Huyo camavinga Bora united tulimkosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…