Khanji kapoor
JF-Expert Member
- Oct 19, 2024
- 1,198
- 2,695
Hakuna wa kukaba wote mabishoo 😀😀Ama kweli mpira si pesa
Lile kosi la Madrid thamani yake unanunua vikosi vitatu vya Barcelona😁😁😁😁
Belngham anatembea km dime la nyani
Mbape hataki aguswe unamchafua 😀😄
Vin ukimgusa anakupiga ngumi 😀😀😄
Timu linaishi kwa kuhonga marefa