Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Jose Munuera Montero dhidi ya Real Madrid, kipindi cha kwanza:

• Penalti 3 hazijatolewa
• Mbappé kapigwa ngumi kifuani, hakuna faulo
• Viní Jr. kapigwa kofi usoni, hakuna faulo
• Mbappé kapigwa kiwiko usoni, hakuna faulo
• Jude Bellingham anakuwa mchezaji wa kwanza kutolewa nje kwa kupinga maamuzi
• Ancelotti anapewa kadi ya njano kwa kuomba marudio ya penalti
• Fran García asukumwa hadi nje ya uwanja, hakuna kadi ya njano

Huu si mpira wa miguu..

Labda tuseme timu haina Balance na waamuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…