PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Check hiyo penalty, mpira ulishapigwa ila hivyo imewekwa kati., safari hii tunalo, halafu kule nyuma Camavinga alienda kufanya nini? Ama ndio hivyo Tchouameni na mwenzie alishapotea?
Ref leo ana mission moja tu. Kuhakikisha hatuondoki na point 3