Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,746
- Thread starter
-
- #5,401
Ha ha ha ha hizi mind games za guardiola zinapotosha wengi,jamaa ni bonge la genius
Uchunguzi wa kitaalam umebainisha kuwa kuna uwezekano mdogo sana kwa mpenzi wa barca kupata heart attack hii ni kwa sababu ya zile gonga zinazotembea uwanjani na ball possession ya 70%-ukiongeza na ile strike force ya sasa ndio inakuwa balaa. Barca ni timu pekee duniani ambayo haitaji defence ili kushinda
Mnapenda kujilisha upepo nyie viumbe...Haya,kombe linatua Camp nou.Uchunguzi wa kitaalam umebainisha kuwa kuna uwezekano mdogo sana kwa mpenzi wa barca kupata heart attack hii ni kwa sababu ya zile gonga zinazotembea uwanjani na ball possession ya 70%-ukiongeza na ile strike force ya sasa ndio inakuwa balaa. Barca ni timu pekee duniani ambayo haitaji defence ili kushinda
Uchunguzi wa kitaalam umebainisha kuwa kuna uwezekano mdogo sana kwa mpenzi wa barca kupata heart attack hii ni kwa sababu ya zile gonga zinazotembea uwanjani na ball possession ya 70%-ukiongeza na ile strike force ya sasa ndio inakuwa balaa. Barca ni timu pekee duniani ambayo haitaji defence ili kushinda
Me kwa mtazamo wangu timu ambayo nlikuwa naihofia ni ATM peke yake,hawa waliobaki hawa tunawamudu vzr kabisa bila wasiwasi,hakyanani ndoo tunaibebea hii me nakuambia maneno ya waziNaangalia wachangiaji Antimadrista kule wanavyoonyesha dharau kwa timu yetu, lakini najua moyoni wanakwazika sana na hili chama.
Hahaha, ok.Uchunguzi wa kitaalam umebainisha kuwa kuna uwezekano mdogo sana kwa mpenzi wa barca kupata heart attack hii ni kwa sababu ya zile gonga zinazotembea uwanjani na ball possession ya 70%-ukiongeza na ile strike force ya sasa ndio inakuwa balaa. Barca ni timu pekee duniani ambayo haitaji defence ili kushinda
Kuna watu wameanza kuangalia mpira juzi jumanne usiku,hao wanajua bayern na barca,hawajui kumbukumbu za msimu jana bayern alipigwa nje ndani tena kipigo cha mmbwa mwizi kule kule kwao na real madrid,watu hao hawajui kuwa barcelona ili kushinda mechi ya marudiano ya juzi pale nou camp ilibidi wapandishe bei ya ticket kwa washabiki wa madrid na wakatoa limited numbers of seats,kisha uwanja ukawa mkavu ili majani yawe yanateleza..haya yote yaliripotiwa katika vyombo vya habar..ila pamoja na hujuma zote hizo walipata ushindi kwa mbinde sana wa goli 2-1 wakat round ya kwanza pale santiago pamoja nakupewa kila walichohitaji na idadi kubwa sana ya mashabiki wao kuingia ila walikula 3-1...You're not serious, are you? Real Madrid inajikongoja? They have 2 points difference with la liga leader na sasa wanacheza UCL semi-final, kujikongoja gani huko? Au bahati mbaya ipi unaongea?...By the way hao unaowaita wewe wananaojua mpira are just Real Madrid haters kama wewe. Yeyote atakeyeshinda mechi yenu tuonane Berlin mwezi june.
Hao jamaa ni wahuni tu, walitupa tickets 100 tu, na bei ilikuwa ni 110k nadhani. Cha muhimu ni kutowajali tuKuna watu wameanza kuangalia mpira juzi jumanne usiku,hao wanajua bayern na barca,hawajui kumbukumbu za msimu jana bayern alipigwa nje ndani tena kipigo cha mmbwa mwizi kule kule kwao na real madrid,watu hao hawajui kuwa barcelona ili kushinda mechi ya marudiano ya juzi pale nou camp ilibidi wapandishe bei ya ticket kwa washabiki wa madrid na wakatoa limited numbers of seats,kisha uwanja ukawa mkavu ili majani yawe yanateleza..haya yote yaliripotiwa katika vyombo vya habar..ila pamoja na hujuma zote hizo walipata ushindi kwa mbinde sana wa goli 2-1 wakat round ya kwanza pale santiago pamoja nakupewa kila walichohitaji na idadi kubwa sana ya mashabiki wao kuingia ila walikula 3-1...
Kuna watu wameanza kuangalia mpira juzi jumanne usiku,hao wanajua bayern na barca,hawajui kumbukumbu za msimu jana bayern alipigwa nje ndani tena kipigo cha mmbwa mwizi kule kule kwao na real madrid,watu hao hawajui kuwa barcelona ili kushinda mechi ya marudiano ya juzi pale nou camp ilibidi wapandishe bei ya ticket kwa washabiki wa madrid na wakatoa limited numbers of seats,kisha uwanja ukawa mkavu ili majani yawe yanateleza..haya yote yaliripotiwa katika vyombo vya habar..ila pamoja na hujuma zote hizo walipata ushindi kwa mbinde sana wa goli 2-1 wakat round ya kwanza pale santiago pamoja nakupewa kila walichohitaji na idadi kubwa sana ya mashabiki wao kuingia ila walikula 3-1...
Usijali nitakuwepo,mimi hapa nilipo nikitembea dakika 10 tu niko NOU camp. Maeneo haya Barca ni more then a football team,wapenzi wa barca ni afadhali wafungwe kuliko goal lipatikane kwa shuti toka nje ya boxHahahahahaha safi sana mdada, kwanini usiwe humu ktk jukwaa la Sports? Ukiwa humu nitafurahi sana.
Usijali nitakuwepo,mimi hapa nilipo nikitembea dakika 10 tu niko NOU camp. Maeneo haya Barca ni more then a football team,wapenzi wa barca ni afadhali wafungwe kuliko goal lipatikane kwa shuti toka nje ya box
Sina chakukujibu,jitahidini tukutane ujeruman...Nina hakika unatazama tu mpira wakat wakicheza ila nje ya hapo hujui kinachofanyika ni nini...-Huu ndo unaitwa Udaku, na tukiuleta ktk Thread kama hii ambayo Mkuu Salamander huwa haandikagi majungu kama haya huwa haipendezi.
-Kwani Real Madrid hajawahi kufungwa Camp Nou.
-Barca hajawahi kumfunga Real ndani ya Santiago Bernabeu na Messi akaondoka na mpira tena ni msimu uliopita tu hapo na ktk ligi Real alikaa nje ndani.
-Udaku kama huu acha ufanyike ktk Thread za EPL au Bongo, Spain hakuna mambo ya ajabu ajabu.
Sina chakukujibu,jitahidini tukutane ujeruman...Nina hakika unatazama tu mpira wakat wakicheza ila nje ya hapo hujui kinachofanyika ni nini...
Jajaja Madam, Yaani ulipo unatembea dakika 10 tu kufika 'Nou Camp'? Are you serious right now?Usijali nitakuwepo,mimi hapa nilipo nikitembea dakika 10 tu niko NOU camp. Maeneo haya Barca ni more then a football team,wapenzi wa barca ni afadhali wafungwe kuliko goal lipatikane kwa shuti toka nje ya box
Haha mchukuane mkaibiane kwenu kule, na mlime uyoga wa kutosha. 'Nou camp' ndio wapi?hahahahahaha basi uwe unaonekana kule kwenye Jukwaa la Barcelona.