Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

siku ingine usilete kujua,otherwise I will put you in your place

Haha Madam, Si kwa ubaya, ila ukitaka kuisifia timu yako au kuikandamiza yangu kwenye thread yetu, angalau kuja na facts, na si story za vijiweni. Tuna Franco ghosts humu zina-detect fake culos, watch-out.
 
Hahaha, oi!

hahahahaha basi Real Madrid wakishinda, mashabiki wa Man U wanapiga kelele balaa.
Unajua mkuu baada ya Man U kuyumba, mashabiki wengi wakawa wanajifariji kwa R.Madrid ili kupunguza stress zao.
 
Hao tumeshawazoea, wanajisifu wametupeleka semis, tunawaacha wajifariji.
 
Haha Madam, Si kwa ubaya, ila ukitaka kuisifia timu yako au kuikandamiza yangu kwenye thread yetu, angalau kuja na facts, na si story za vijiweni. Tuna Franco ghosts humu zina-detect fake culos, watch-out.
story ya kijiweni ni zipi? Kwani Barca sio timu inayocheza attractive football kuliko timu ingine yote kwenye hii sayari? ni timu pekee ambayo kiingilio unachotoa kinaenda kihalali tukipima entertainment factor
 
Yeye ndo hana fact, angekuwa na fact angetambua kuwa ni kweli Barca ndio timu pekee inayoleta soka la burudani kuliko timu yoyote ile hapa duniani, labda kuzimu na Mbinguni.
 
jackline1 endelea kuwapa ukweli, wachane ukweli kiongozi.
 
Last edited by a moderator:
story ya kijiweni ni zipi? Kwani Barca sio timu inayocheza attractive football kuliko timu ingine yote kwenye hii sayari? ni timu pekee ambayo kiingilio unachotoa kinaenda kihalali tukipima entertainment factor

tunasubiri hiyo attractive football mbele ya Bayern Munich.......
 
story ya kijiweni ni zipi? Kwani Barca sio timu inayocheza attractive football kuliko timu ingine yote kwenye hii sayari? ni timu pekee ambayo kiingilio unachotoa kinaenda kihalali tukipima entertainment factor
Fact ni, kwa wewe ambaye unakaa 'dakika 10 kutoka moja ya viwanja vikubwa na vya kihistoria duniani', usingetamka 'nou camp'. Coz i'm sure hakuna mkazi yoyote wa Barcelona anayetamka hivyo. You would know why, if you're even a true cule.
 
Yeye ndo hana fact, angekuwa na fact angetambua kuwa ni kweli Barca ndio timu pekee inayoleta soka la burudani kuliko timu yoyote ile hapa duniani, labda kuzimu na Mbinguni.
Attractive futbol ni ipi? Possession i assume, games tulizocheza na nyie msimu huu, nani alikuwa na possession kubwa?
 
Kwanini una assume- hakuna timu inayo mzidi Barca kwa possession-check facts zako.Barca akizidiwa possession wa Catalan wataomba coach afukuzwe hapohapo, Sharti la kuifundisha hii timu first and foremost ni tiki-taka football na ushindi ni second factor
 
Kuna babu m-dutch anaheshimika sana maeneo hayo unayoishi, huwa analalamika mara kwa mara kwenye articles zake maarufu sana hapo ulipo. Unaweza kuniambia huwa analalamika kitu gani? Jibu la ulichokisema liko hapo
 
What the hell is this? Mlivyoliwa 7up Bayern what happened? First leg mlivyokuja Bernabeu who dominated?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…