pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,131
- 3,505
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kizungu hicho,ki Spanish na wewe wapi na wapiHaha mchukuane mkaibiane kwenu kule, na mlime uyoga wa kutosha. 'Nou camp' ndio wapi?
kizungu hicho,ki Spanish na wewe wapi na wapi
kizungu hicho,ki Spanish na wewe wapi na wapi
siku ingine usilete kujua,otherwise I will put you in your placeHahaha smh, try me.
Hahaha, oi!Achana nae mshamba huyo, kwanza shabiki wa Man U huyooo, baada ya Ronaldo kuja Real na yeye ndo kahamia Madrid.
siku ingine usilete kujua,otherwise I will put you in your place
Hahaha, oi!
Hao tumeshawazoea, wanajisifu wametupeleka semis, tunawaacha wajifariji.hahahahaha basi Real Madrid wakishinda, mashabiki wa Man U wanapiga kelele balaa.
Unajua mkuu baada ya Man U kuyumba, mashabiki wengi wakawa wanajifariji kwa R.Madrid ili kupunguza stress zao.
story ya kijiweni ni zipi? Kwani Barca sio timu inayocheza attractive football kuliko timu ingine yote kwenye hii sayari? ni timu pekee ambayo kiingilio unachotoa kinaenda kihalali tukipima entertainment factorHaha Madam, Si kwa ubaya, ila ukitaka kuisifia timu yako au kuikandamiza yangu kwenye thread yetu, angalau kuja na facts, na si story za vijiweni. Tuna Franco ghosts humu zina-detect fake culos, watch-out.
story ya kijiweni ni zipi? Kwani Barca sio timu inayocheza attractive football kuliko timu ingine yote kwenye hii sayari? ni timu pekee ambayo kiingilio unachotoa kinaenda kihalali tukipima entertainment factor
story ya kijiweni ni zipi? Kwani Barca sio timu inayocheza attractive football kuliko timu ingine yote kwenye hii sayari? ni timu pekee ambayo kiingilio unachotoa kinaenda kihalali tukipima entertainment factor
Fact ni, kwa wewe ambaye unakaa 'dakika 10 kutoka moja ya viwanja vikubwa na vya kihistoria duniani', usingetamka 'nou camp'. Coz i'm sure hakuna mkazi yoyote wa Barcelona anayetamka hivyo. You would know why, if you're even a true cule.story ya kijiweni ni zipi? Kwani Barca sio timu inayocheza attractive football kuliko timu ingine yote kwenye hii sayari? ni timu pekee ambayo kiingilio unachotoa kinaenda kihalali tukipima entertainment factor
Attractive futbol ni ipi? Possession i assume, games tulizocheza na nyie msimu huu, nani alikuwa na possession kubwa?Yeye ndo hana fact, angekuwa na fact angetambua kuwa ni kweli Barca ndio timu pekee inayoleta soka la burudani kuliko timu yoyote ile hapa duniani, labda kuzimu na Mbinguni.
Unachotakiwa kuomba ni wapenzi wa Madrid waache kumzomea Bale-anaweza kuja kuwakomboa angalau mkawa runners up at leasttunasubiri hiyo attractive football mbele ya Bayern Munich.......
Kwanini una assume- hakuna timu inayo mzidi Barca kwa possession-check facts zako.Barca akizidiwa possession wa Catalan wataomba coach afukuzwe hapohapo, Sharti la kuifundisha hii timu first and foremost ni tiki-taka football na ushindi ni second factorAttractive futbol ni ipi? Possession i assume, games tulizocheza na nyie msimu huu, nani alikuwa na possession kubwa?
Kuna babu m-dutch anaheshimika sana maeneo hayo unayoishi, huwa analalamika mara kwa mara kwenye articles zake maarufu sana hapo ulipo. Unaweza kuniambia huwa analalamika kitu gani? Jibu la ulichokisema liko hapoKwanini una assume- hakuna timu inayo mzidi Barca kwa possession-check facts zako.Barca akizidiwa possession wa Catalan wataomba coach afukuzwe hapohapo, Sharti la kuifundisha hii timu first and foremost ni tiki-taka football na ushindi ni second factor
Kwanini una assume- hakuna timu inayo mzidi Barca kwa possession-check facts zako.Barca akizidiwa possession wa Catalan wataomba coach afukuzwe hapohapo, Sharti la kuifundisha hii timu first and foremost ni tiki-taka football na ushindi ni second factor