Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Ndio wamejaa humu, ntawapuuza huko pote ila sio kwenye hii thread, i promise. I know how to deal with all kinds. Real Madrid humu itanyooshewa vidole na Madridistas tu, wengine wafanye kwa adabu.Kuna watu wapo humu hawajui wanataka nini, wanafikiri kuongea kuhusu sports ni kubishana tu kama Simba na Yanga. Wapuuzi tu ni wa kuachana nao, sasa utaongea na mtu anakwambia yeye ni fan na sopporter wa club zaidi ya tatu, wengine ni maplastic tu humu, their main subject ni who's the best btn Cristiano and Messi, muflisi wa mawazo.