Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Mbape sasa kaanza kupata utamu wa makombe yakimataifa ngazi ya club...
FB_IMG_1723577718258.jpg
 
Hapa ndipo ninapomuelewa zaidi Carlo Ancelotti. Vile wachezaji wanakuwa kama Tigo, wanaji express themselves [emoji2][emoji2][emoji2]

Hakuna mambo yale ya Guardiola, kumfanyia sub Thierry Henry kisa kahama from right kwenda left.
 
hii 4-3-3 bila creative midfielder caliber ya kross au modric kazi itakuwa ngumu maana atlanta wako vizur kwenye build up and pressing inahutajika mtu kama modric kuwa punguza nguvu hapo kati bila hivo
Liverpool 2018/19 campaign

4 3 3

Taa/Matip/VVD/Robby

Faby/Henderson/Binadamu

Salah/Firmino/Mane

Moto uliowashwa nadhani unaukumbuka.
 
Kroos, kurasa imeshafungwa. Modric, wote tunajua, ni sub mwaka wa pili kama sio wa tatu mfululizo. Na hata juu wakati wadau wanataka possible line up kwa 24/25 kwenye midfield, hakuna aliyeanza na Modric

4 3 3 yetu, "creative midfielder" ni Jude. The thing, he is free to roam kwenye pitch popote anapotaka. Sababu Ile Ile, Carlo Ancelotti
 
Jana pengo la kroos limeonekana wazi kabisa. Angalia sub ya babu LUCA MODRIC alipoingia ndo kukawa na muunganiko wa kiungo
 
Kuna sehemu labda sikuelewi, unataja creative midfielder na Kroos sehemu moja. Kroos ameoperate kama deep lying playmaker rather than creative midfielder chini ya Ancelotti

Hilo la Luca kuingia ndo kiungo kuwa na muunganiko, maybe, maybe not
 
Timu inahitaji quality playmaker, awe deep lying au hata acheze juu. timu ili straggle sana juzi katikati, na wakati Atalanta wala sio timu ya kucheza kati na pia walikuwa wana miss key players wao kadhaa.

Na ni impossible kabisa kumueka nje Valverde, so either ajaribiwe Modric sehemu ya Tchuamen amabyo ni sio fikra nzuri au Jude awe replaced na Modric/ Arda/ Diaz amabo wapo more creative. na hata Rodrigo pia anaweza uhitajika kuwa sacrificed
 
Mtazamo wangu hapo Rodrigo aanzie Benchi.

Kati kati pabaki vile vile Ververde Tshuaminen 6 na Jude.

Juu yao wamuamini Arder Guller.

Na pale juu kabisa wasimame Vin na mbappe.
 
Back
Top Bottom