pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,131
- 3,505
Gooooal.....Mbapeee..first match first goal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raha yakuwa timu yenye njaa na uwitaji wa makombeee..hapo njaa yake imeisha mkuu💯💯💯Mbape sasa kaanza kupata utamu wa makombe yakimataifa ngazi ya club...
Mbape sasa kaanza kupata utamu wa makombe yakimataifa ngazi ya club...
Liverpool 2018/19 campaignhii 4-3-3 bila creative midfielder caliber ya kross au modric kazi itakuwa ngumu maana atlanta wako vizur kwenye build up and pressing inahutajika mtu kama modric kuwa punguza nguvu hapo kati bila hivo
Comeback kwa varcelona au sio🤣Liverpool 2018/19 campaign
4 3 3
Taa/Matip/VVD/Robby
Faby/Henderson/Binadamu
Salah/Firmino/Mane
Moto uliowashwa nadhani unaukumbuka.
Jana pengo la kroos limeonekana wazi kabisa. Angalia sub ya babu LUCA MODRIC alipoingia ndo kukawa na muunganiko wa kiungoKroos, kurasa imeshafungwa. Modric, wote tunajua, ni sub mwaka wa pili kama sio wa tatu mfululizo. Na hata juu wakati wadau wanataka possible line up kwa 24/25 kwenye midfield, hakuna aliyeanza na Modric
4 3 3 yetu, "creative midfielder" ni Jude. The thing, he is free to roam kwenye pitch popote anapotaka. Sababu Ile Ile, Carlo Ancelotti
Kuna sehemu labda sikuelewi, unataja creative midfielder na Kroos sehemu moja. Kroos ameoperate kama deep lying playmaker rather than creative midfielder chini ya AncelottiJana pengo la kroos limeonekana wazi kabisa. Angalia sub ya babu LUCA MODRIC alipoingia ndo kukawa na muunganiko wa kiungo
Kuna sehemu labda sikuelewi, unataja creative midfielder na Kroos sehemu moja. Kroos ameoperate kama deep lying playmaker rather than creative midfielder chini ya Ancelotti
Hilo la Luca kuingia ndo kiungo kuwa na muunganiko, maybe, maybe not
Mtazamo wangu hapo Rodrigo aanzie Benchi.Timu inahitaji quality playmaker, awe deep lying au hata acheze juu. timu ili straggle sana juzi katikati, na wakati Atalanta wala sio timu ya kucheza kati na pia walikuwa wana miss key players wao kadhaa.
Na ni impossible kabisa kumueka nje Valverde, so either ajaribiwe Modric sehemu ya Tchuamen amabyo ni sio fikra nzuri au Jude awe replaced na Modric/ Arda/ Diaz amabo wapo more creative. na hata Rodrigo pia anaweza uhitajika kuwa sacrificed
Mtazamo wangu hapo Rodrigo aanzie Benchi.
Kati kati pabaki vile vile Ververde Tshuaminen 6 na Jude.
Juu yao wamuamini Arder Guller.
Na pale juu kabisa wasimame Vin na mbappe.