Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

1000066223.jpg
 
kuna wale waliokuwa wanataka Mbappe aekwe bench wako wapi?
Kwani mchezaji kuanzia benchi hua kuna sababu zipi?

Ukitoa zile za chuki binafsi baina ya kocha na mchezaji.... Nitajie walau 3.

Harafu turudi kujuzana na wale waliosema Bellingham ni overrated wako wapi?
 
Barcelona wanatoka kucheza na Madrid kila siku ili watukamie watufunge.

Wamesahau kina Getafe Villarreal, Bilbao na Timu nyingi na mechi ni mbili mbili tu.

Hawajui wanaweza kutufunga El classico zote mbili za ligi na la liga wasibebe.
 
Kwani mchezaji kuanzia benchi hua kuna sababu zipi?

Ukitoa zile za chuki binafsi baina ya kocha na mchezaji.... Nitajie walau 3.

Harafu turudi kujuzana na wale waliosema Bellingham ni overrated wako wapi?

Belingham ni overrated, ukweli tayari umedhihiri, tuliambiwa ni best player in the world vipi munaendelea na msimamo wenu?
 
overrated Yupo kwenye top 3

Una ukweli upi ulio nao wewe?

Tuletee Underrated wako Musiala utuambie ni wa ngapi?

Hata top 10 hayupo.... We jamaa bhana.
 
overrated Yupo kwenye top 3

Una ukweli upi ulio nao wewe?

Tuletee Underrated wako Musiala utuambie ni wa ngapi?

Hata top 10 hayupo.... We mama bhana.

mkuu mbona unakua mkali? Mfalme Mbappe tayari ameshaingia Madrid hao wababaishaji wakubali tu kuwa na side roles
 
Mimi sio mkali na hua sichukulii vitu personal kiivo.

But sory pale mwisho typing ilikua error sikua na lengo la kuandika "we mama bhana"

nilidhamiria kuandika "We jamaa bhana".

Turudi kwenye mada ....ili mbappe awike anawahitaji kina Bellingham Wawe bora...

Sasa leo hii unataka tushindanishe Mbappe na Jude tena?

Baller wako Musiala kaishia wapi?
 
acha kumlinganisha Musiala na vitu vya kipuuzi, Jude mpira anatuliza mara mbili mbili unaanzaje kumlinganisha na skillful player kama Musiala?
 
Back
Top Bottom