Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,502
- 6,049
Valverde ndio anaongoza Jahazi letu leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona walianza wawili tu, kiungo martin na beki javi SanchezUnajua hii Valladolid full squad ni former Real Madrid Castilla's players. Yaani leo tumecheza na kikosi chetu cha Academy
Ndo tunaongoza ligi maiti zote zinafata nyuma.Mmepiga Mabomu mochware
kuna wale waliokuwa wanataka Mbappe aekwe bench wako wapi?
Kwani mchezaji kuanzia benchi hua kuna sababu zipi?kuna wale waliokuwa wanataka Mbappe aekwe bench wako wapi?
Kwani mchezaji kuanzia benchi hua kuna sababu zipi?
Ukitoa zile za chuki binafsi baina ya kocha na mchezaji.... Nitajie walau 3.
Harafu turudi kujuzana na wale waliosema Bellingham ni overrated wako wapi?
overrated Yupo kwenye top 3Belingham ni overrated, ukweli tayari umedhihiri, tuliambiwa ni best player in the world vipi munaendelea na msimamo wenu?
overrated Yupo kwenye top 3
Una ukweli upi ulio nao wewe?
Tuletee Underrated wako Musiala utuambie ni wa ngapi?
Hata top 10 hayupo.... We mama bhana.
Mimi sio mkali na hua sichukulii vitu personal kiivo.mkuu mbona unakua mkali? Mfalme Mbappe tayari ameshaingia Madrid hao wababaishaji wakubali tu kuwa na side roles
Mimi sio mkali na hua sichukulii vitu personal kiivo.
But sory pale mwisho typing ilikua error sikua na lengo la kuandika "we mama bhana"
nilidhamiria kuandika "We jamaa bhana".
Turudi kwenye mada ....ili mbappe awike anawahitaji kina Bellingham Wawe bora...
Sasa leo hii unataka tushindanishe Mbappe na Jude tena?
Baller wako Musiala kaishia wapi?