RECORD: Majengo ya huduma kwa wagonjwa wa dharula kama ajali, kujifungua yameongezeka kutoka majengo7 mpaka majengo 125 ndani ya miaka minne

CM 1774858

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2021
Posts
6,157
Reaction score
5,451

===
Rais Samia ameongeza hospitali zenye majengo ya kutolea huduma za dharura ( EMD) kutoka 7 mwaka 2020 hadi 128 mwaka 2025.

Aidha, Kukamilika kwa ujenzi wa majengo ya kutolea huduma za dharura kumepunguza vifo na kuokoa maisha kwa wagonjwa wa dharura hasa wa ajali na Wajawazito bila kujali itakadi zao.

Watanzania haya mambo tusijanye hatuyaoni.
 
Hatijaanza kampeni.subiri tukaambiane kwenye majukwaa.
 
SASA MBONA mnatuambia asie na EF hamsini akajifungulie KWAO HIZO kauli SIO nzuri na hamja wahi kuomba radhi tumewaacha NYIE mkiugua muende India sisi tunaowapigia kura tutibiwe haphap lakini BADO hamriziki mna tubania na hapahapa KWENYE ardhi yetu
 
Majengo yamejengwa mapya lakini ajira mpya wizara ya afya zilitoka? Au tuna majengo bila nguvu kazi.
 
Ukiacha majungu na fitina ila hakuna wa kumfikia Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…