RECORD: Majengo ya huduma kwa wagonjwa wa dharula kama ajali, kujifungua yameongezeka kutoka majengo7 mpaka majengo 125 ndani ya miaka minne

Rais Samia ameongeza hospitali zenye majengo ya kutolea huduma za dharura ( EMD) kutoka 7 mwaka 2020 hadi 125 mwaka 2025, Kukamilika kwa ujenzi wa majengo ya kutolea huduma za dharura kumepunguza vifo na kuokoa maisha kwa wagonjwa wa dharura na wa ajali,

Watanzania haya mambo tusijanye hatuyaoni.
Takataka
 
Shida siyo majengo,kauli ya RAC chalamilwa hatujui yule aliyejibiwa kama alikuwa kwenye jengo zuri au baya
lakini akaambiwa arudi nyumbani mmewe amzalishe,hapo jengo linahusikaje?
 
Rais Samia ameongeza hospitali zenye majengo ya kutolea huduma za dharura ( EMD) kutoka 7 mwaka 2020 hadi 125 mwaka 2025, Kukamilika kwa ujenzi wa majengo ya kutolea huduma za dharura kumepunguza vifo na kuokoa maisha kwa wagonjwa wa dharura na wa ajali,

Watanzania haya mambo tusijanye hatuyaoni.
habari njema sana hii
 
Back
Top Bottom