RECORDS: Tutajie Wanajamii Forums Maarufu na Wakongwe Uliowakuta Humu

Tatizo lako uko humu jf kufuatilia maisha ya watu

Utauponza (Jokes[emoji23])
 
Kifupi ni kwamba Wakongwe wa JF wengi tumeamua kukaa kimya na kuwa wasomaji au wengine wame mute kabisa. Tumepitia mambo mengi mno kwa staili Ile ya kwetu enzi hizo za kujadili mambo mazito humu ndani. Kila mmoja wetu ametulia huko aliko ili aishi kwa Amani na salama au kuwa msomaji tu na kuchangia lightly tu. Hii ni kwa kulinda pia usalama na uhai wa JF na members wake. Poleni Sana mliojiunga JF kuanzia 2015 mmekosa mambo mazito na muhimu Sana kwa ushauri na maendeleo ya nchi yetu. JF is not the same anymore. Tuliosoma Cuba, Israel, na Urusi mtanielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…