RECORDS: Tutajie Wanajamii Forums Maarufu na Wakongwe Uliowakuta Humu

Kulikua na vichwa
kahtaan
Monstgala
juve
Eiyer
Kiranga
paschal mayalla
Wawili ndio naona wapo active, wengine sijui walipotelea wapi ?
Sijui walibadili username?
Au wameacha kutumia JF?
Eiyer alikuaga ana mada za kufikirisha sana.Kuna uzi aliletaga humu dogo mmoja akamponda akamwambia haumfikii the bold.Jibu alilomjibu sipo humu kushindwanishwa na tangia hapo hakuleta tena nyuzi zake za mambo ya UFO.
 
WanaJF wengi average minded hawajui kutofautisha mtu maarufu na mkongwe. Mtu wakishinda nae kwenye nyuzi za chupi wanaona ni mkongwe au ana akili sana. Wakati kuna wababe kama barafu
Huyu mwamba baada ya ule uzi wake wa kuiba almasi pale Mwadui sijamsoma tena ila huyu mwamba nahisi alikuwa mtu wa aviation na pia ni mlinzi wa taifa
 
Nashangaa et now anamwamini Mungu[emoji23][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe mkongwe kweli yaani kama humtaji malaria sugu .. marehemu le mutuz ..marehemu regia mtema na mimi mwenyewe.. na Ritz
Regia Mtema...R.I.P ulikuwa msiba mkubwa sana hapa JF. Nakumbuka mpaka wajumbe waliubeba ule msiba na kushirikiana vyema. Ilikuwa 2012 Marehemu akiwa Mbunge wa Viti maalum kupitia Chadema alipata ajali ya gari akielekea njia ya Chalinze...

Sent from my SM-A525F using JamiiForums mobile app
 
Tarehe 4 October natimiza miaka 11 na nusu kuwepo humu JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…