RECORDS: Tutajie Wanajamii Forums Maarufu na Wakongwe Uliowakuta Humu

Kutajwa na Mtu kwa Kukukubali na Kukubalika kisha unakuwa Namba Moja katika List yake si Kitu cha Mzaha kwani inaonyesha kuwa hata kama Kutwa ( 24/7 ) kuna Wapumbavu ( Fools ) Wengi watakuchukia, watakutukana, watakushambulia, watakuchafua na watakudhalilisha hapa JamiiForums kumbe wapo Wachache wenye Akili ( Intelligent ) watakupenda, watakuthamini, watakuheshimu na watakutia Moyo kwa aina ya Uwasilishaji wako Kuntu wa Masuala Mtambuka hapa Jamvini.

GENTAMYCINE hawezi kupewa Utajiri mkubwa wa Tunu ( Shani ) za kuwa "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer" hivi huku akiwa na Utajiri wa Followers 166 JamiiForums na asiwe na Mvuto na Asikubalike.

Asante Mungu na Asante Mkuu wangu.
 
Vijana mnatakiwa Kutupa Maua yetu
 
Mm nitaacha kukufolow kuku ignore masima hufai kbsa mtu mwenye matusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…