Records: Yanga yaingia kwenye record za top 10 ya unbeaten duniani

Kwa hiyo Yanga wanapewa sh. ngapi huko? πŸ˜€
 
Hii inalisaidia nini taifa wakati ukiwa na point 0.5 huko caf?
Maana simba kasaidia vilabu vingine kupanda ndege kucheza kimataifa(Namungo. , Yanga wenyewe, Biashara utd na Azam) Haya , hii ya uto inasaidia nini?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Kama ni hivo tuna zile LL za rivers
Za rivers mlishinda?
Maana hesabu ya hizo game 39 mmetaja game za league ambazo zinajumuisha misimu miwili. Wekeni record sawa mueleweke. Kama ni season moja basi mseme ni unbeaten katika mashindano yote bila kuhusisha msimu wa 2022/23
 
Ofsa hatutaki acha ibaki hivo ilivyo πŸ˜… na hamna la kutufanya
Za rivers mlishinda?
Maana hesabu ya hizo game 39 mmetaja game za league ambazo zinajumuisha misimu miwili. Wekeni record sawa mueleweke. Kama ni season moja basi mseme ni unbeaten katika mashindano yote bila kuhusisha msimu wa 2022/23
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…