Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Yanga wanapewa sh. ngapi huko? 😀Salaam wana jf
Club ya young africans imefanikiwa kuingia kwenye records za unbeaten kwenye ligue mbali mbali za duniani.....kwa wale ambao walikimbia umande ni kuwa yanga ndio timu pekee Tz na EA na Africa ambayo imecheza mechi nyingi bila kufungwa
Yanga yaingiaje rekodi ya unbeaten duniani??
Jibu ni kuwa yanga mpaka sasa wamecheza michezo 39 bila kupoteza ......na wakifanikiwa kushinda mechi yeyote kwenye ligue basi watakuwa wamevunja record ya chelsea......waliocheza mechi 40 bila kupoteza
Record ya timu unbeaten duniani
Fc porto.mechi 58...2021/2022
Ac milan mech 58. 1991/1993
Celtics. Mech 56 ....2016/2017
Bayern. Mechi. 53 ...2012/2014
Arsenal. Mechi 49......2003/2004
Juventus. Mechi 49. 2011/2012
Liverpool mechi 44. 2019/2020
Barcelona. Mechi 43. 2017/2018
Real madrid.Mech 42. 2016/2017
Chelsea. Mechi. 40. 2004/2005
Yanga sc. Mechi 39 2021/2022
Huko FIFA watu wanakanyagana kujua details ....za yanga
Je unafikiria nini unaposikia yanga ni timu unbeaten pekee africa??View attachment 2333512
Ile ni ligi ya Tanzania?Ko zile mechi mbili mlizofungwa na rivers vipi
Hiyo ni all competitions mkuuMsimu mmoja games 58 ofsa??
All competitions. Hiyo list si mmeandaa nyie wanayanga ili mpate wa kujifananisha nao mkuu.Mkuu....angalia records za fc porto....ni 2020/ .....2022
Hiyo ni all competitions mkuu
Mnachagua mechi😅😅Zipo nje ya league
Za rivers mlishinda?Kama ni hivo tuna zile LL za rivers
Za rivers mlishinda?
Maana hesabu ya hizo game 39 mmetaja game za league ambazo zinajumuisha misimu miwili. Wekeni record sawa mueleweke. Kama ni season moja basi mseme ni unbeaten katika mashindano yote bila kuhusisha msimu wa 2022/23
Sawa mkuu, kwa kuwa manara alishajisemea basi acha ikae hivyo 😀Ofsa hatutaki acha ibaki hivo ilivyo 😅 na hamna la kutufanya
Sawa mkuu, kwa kuwa manara alishajisemea basi acha ikae hivyo 😀