Recycling ya viongozi,Rais asilaimiwe idadi ya watanzania ni kubwa sawa na UK na S.Africa ila watanzania wengi hatuna uwezo kichwani

Hatuna shida ya watu wenye uwezo tunashida ya kufanya vetting sahihi.
Watu wanaosaidia kujua Nani anaweza kufanya shughuli gani ndio hao huenda uwezo umekua mdogo.
Ndio maana unaona ni mzunguko wa viongozi, makada na watoto wao.
Anaweza kuteuliwa kwenye nafasi mtu mpaka ukashangaa imekuaje.
Kama nape na kichwa kama box anapotentia gani kwenye kwa taifa mpaka rais ampe nafasi hiyo
 
Kuna watu wanashangaa kila siku majina ya wateuliwa ni yale yale na kumlaumu Rais .

Idadi ya watanzania inakaribiana na South Africa,na UK.
Lakini wenzetu wana vichwa,wanaweza kuunda mabaraza ya mawaziri hata manne

Tukubali sisi uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo,tuko milioni 60+ ila kati ya hao ,watu wa maana kabisa hawazidi milioni 1
Tubadilike tuache ujinga tujisomee tuongeze maarifa

Kingine sheria ibadilishwe mawaziri isiwe lazima kuwa wabunge ,huku mtaani kunawatu wanaojitambua lakini hawako kwenye siasa wala ubunge na wanaweza kusaidia nchi wakiwa mawaziri

Au itungwe sheria mbunge awe na minimum qualification degree au diploma,sio bunge limejaa akina Babu Tale,Lusinde na Msukuma mnalalamika recycling ya mawaziri

Watanzania tuaje ujinga tujenge utamaduni wa kuwa serious

Hebu niambie ukiacha Dk Kimei kuna mbunge gani ana sifa za kuwa Rais
Hata wewe ungekuwa Rais ungerudisha makapi hayohayo

We dont have quality people ,

Aaha wapi uandishi wako haujafanyia Research.. kuna watu wengi sana wenye akili na upeo wa hali ya juu..
Some of them hata shule hawajaenda au la wengine wapo kwenye hizo Office wanakua outshined na hao viongozi in short wanawafanyia kazi na wanaonekana si kitu ..
Tanzania bado kuna ukoloni mamboleo na ni laana inayoitesa nchi!
Ifike mahali wawape uongozi watu wanaostahili.. hao mawaziri hakuna kinachofanyika na ingekua ni uwezo wangu System ya CCM ingeondoka asilimia hata 90[emoji19]
 
Sidhani kama eti tofauti na hawa hakuna wengine wanaoweza kushika nafasi za uwaziri. Hapa nachokiona rais anaangalia watu wake ambao anaelewana na kuaminiana nao
 
Sioni kama mbunge anahitaji kua na elimu kubwa ili kuelezea changamoto za wananchi. Swala muhimu ni kuwe na uhuru na uwazi katika chaguzi za kuwapata viongozi. Hapo ndo tutapata watu sahihi
 
Kuna watu wanashangaa kila siku majina ya wateuliwa ni yale yale na kumlaumu Rais .

Idadi ya watanzania inakaribiana na South Africa,na UK.
Lakini wenzetu wana vichwa,wanaweza kuunda mabaraza ya mawaziri hata manne

Tukubali sisi uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo,tuko milioni 60+ ila kati ya hao ,watu wa maana kabisa hawazidi milioni 1
Tubadilike tuache ujinga tujisomee tuongeze maarifa

Kingine sheria ibadilishwe mawaziri isiwe lazima kuwa wabunge ,huku mtaani kunawatu wanaojitambua lakini hawako kwenye siasa wala ubunge na wanaweza kusaidia nchi wakiwa mawaziri

Au itungwe sheria mbunge awe na minimum qualification degree au diploma,sio bunge limejaa akina Babu Tale,Lusinde na Msukuma mnalalamika recycling ya mawaziri

Watanzania tuaje ujinga tujenge utamaduni wa kuwa serious

Hebu niambie ukiacha Dk Kimei kuna mbunge gani ana sifa za kuwa Rais
Hata wewe ungekuwa Rais ungerudisha makapi hayohayo

We dont have quality people ,
Quality people wapo lakini hawawezi kuteuliwa kwa sababu hawapo CCM au hawapo bungeni !!
 
Sidhani kama eti tofauti na hawa hakuna wengine wanaoweza kushika nafasi za uwaziri. Hapa nachokiona rais anaangalia watu wake ambao anaelewana na kuaminiana nao
Haswaaa !
 
Kuna watu wanashangaa kila siku majina ya wateuliwa ni yale yale na kumlaumu Rais .

Idadi ya watanzania inakaribiana na South Africa,na UK.
Lakini wenzetu wana vichwa,wanaweza kuunda mabaraza ya mawaziri hata manne

Tukubali sisi uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo,tuko milioni 60+ ila kati ya hao ,watu wa maana kabisa hawazidi milioni 1
Tubadilike tuache ujinga tujisomee tuongeze maarifa

Kingine sheria ibadilishwe mawaziri isiwe lazima kuwa wabunge ,huku mtaani kunawatu wanaojitambua lakini hawako kwenye siasa wala ubunge na wanaweza kusaidia nchi wakiwa mawaziri

Au itungwe sheria mbunge awe na minimum qualification degree au diploma,sio bunge limejaa akina Babu Tale,Lusinde na Msukuma mnalalamika recycling ya mawaziri

Watanzania tuaje ujinga tujenge utamaduni wa kuwa serious

Hebu niambie ukiacha Dk Kimei kuna mbunge gani ana sifa za kuwa Rais
Hata wewe ungekuwa Rais ungerudisha makapi hayohayo

We dont have quality people ,
Kwanza wewe ni fala... si tusi ni sifa hiyoo
Kwann wewe ni fala ni kwasababu ujinga ulio nao wewe pengine na familia yako kutokusoma basi unajumuisha ni Tanzania nzima...
Pili hujajua tatizo letu ni nn sasa nikusadie kidogo tatizo ni mfumo na si wasomi... yaani hata umlete nani aliyefanya mapinduzi huko dunia ya kwanza kwa mfumo wetu hatotoboa kamwe. (Mfumo ni katiba)
 
Kuna watu wanashangaa kila siku majina ya wateuliwa ni yale yale na kumlaumu Rais .

Idadi ya watanzania inakaribiana na South Africa,na UK.
Lakini wenzetu wana vichwa,wanaweza kuunda mabaraza ya mawaziri hata manne

Tukubali sisi uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo,tuko milioni 60+ ila kati ya hao ,watu wa maana kabisa hawazidi milioni 1
Tubadilike tuache ujinga tujisomee tuongeze maarifa

Kingine sheria ibadilishwe mawaziri isiwe lazima kuwa wabunge ,huku mtaani kunawatu wanaojitambua lakini hawako kwenye siasa wala ubunge na wanaweza kusaidia nchi wakiwa mawaziri

Au itungwe sheria mbunge awe na minimum qualification degree au diploma,sio bunge limejaa akina Babu Tale,Lusinde na Msukuma mnalalamika recycling ya mawaziri

Watanzania tuaje ujinga tujenge utamaduni wa kuwa serious

Hebu niambie ukiacha Dk Kimei kuna mbunge gani ana sifa za kuwa Rais
Hata wewe ungekuwa Rais ungerudisha makapi hayohayo

We dont have quality people ,
Tatizo la Waafrika wengi na sasa Watanzania ni uongozi katika ngazi ya Rais kuwa na nia ya kufanya lo lote lile zuri katika viwango vya juu kadri inavyowezekana (excellence). Tanzania hivi sasa inafanya kama vile Tanzania Football Federation itake kushiriki kwenye Football World Cup ikaamua kutuma timu ya Ihefu kwa sababu TFF wanaipenda na wakategemea itarudi nyumbani Tanzania na Ushindi. Na uongozi wa nchi vile vile unafanywa ili mradi zamu ipite. Ukiandika barua Ikulu kesho uitume kwa EMS ukipata hata mrejesho wa kukiri kuwa barua imepokelewa hesabu kuwa ni muujiza! Haya Kumbe hili ndilo jambo la "aeiou"kwenye utawala.Viwango hivi vya utawala tulishafikia ila tunarudi nyuma. Sasa mawasiliano kwenye Serikali za Mitaa yatakuwa kiwango gani? Huko kwenye elimu ya shahadi ni mbali mno. Anza na basics.
 
Au itungwe sheria mbunge awe na minimum qualification degree au diploma,sio bunge limejaa akina Babu Tale,Lusinde na Msukuma mnalalamika recycling ya mawaziri
Hoja hii inamashiko mkuu. Darasa lasaba kwakweli wasiingie kutunga sheria
 
Mbona wabunge wenye elimu wapotu.
Kwani huyo Mhagama ana nini cha zaidi? Zaidi ya kuratibu matukio kama sherehe anaweza nini tena?

Vipi marope na bwana maji wanajipya au wanaotatu migao?

Nenda kwa bwana tozo utashangaa.
Huko biashara na viwanda utashangaa.
Elimu napo amekengeuka kwenye kununua vishikwambi
Afya nako NHIF inapumulia mdomo kama mgonjwa mahututi

Kwabaraza hili la mawaziri sioni jipya. Livunjwe lisukwe upya labda watapata akili kidogo
 
Back
Top Bottom