Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama nape na kichwa kama box anapotentia gani kwenye kwa taifa mpaka rais ampe nafasi hiyoHatuna shida ya watu wenye uwezo tunashida ya kufanya vetting sahihi.
Watu wanaosaidia kujua Nani anaweza kufanya shughuli gani ndio hao huenda uwezo umekua mdogo.
Ndio maana unaona ni mzunguko wa viongozi, makada na watoto wao.
Anaweza kuteuliwa kwenye nafasi mtu mpaka ukashangaa imekuaje.
Kuna watu wanashangaa kila siku majina ya wateuliwa ni yale yale na kumlaumu Rais .
Idadi ya watanzania inakaribiana na South Africa,na UK.
Lakini wenzetu wana vichwa,wanaweza kuunda mabaraza ya mawaziri hata manne
Tukubali sisi uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo,tuko milioni 60+ ila kati ya hao ,watu wa maana kabisa hawazidi milioni 1
Tubadilike tuache ujinga tujisomee tuongeze maarifa
Kingine sheria ibadilishwe mawaziri isiwe lazima kuwa wabunge ,huku mtaani kunawatu wanaojitambua lakini hawako kwenye siasa wala ubunge na wanaweza kusaidia nchi wakiwa mawaziri
Au itungwe sheria mbunge awe na minimum qualification degree au diploma,sio bunge limejaa akina Babu Tale,Lusinde na Msukuma mnalalamika recycling ya mawaziri
Watanzania tuaje ujinga tujenge utamaduni wa kuwa serious
Hebu niambie ukiacha Dk Kimei kuna mbunge gani ana sifa za kuwa Rais
Hata wewe ungekuwa Rais ungerudisha makapi hayohayo
We dont have quality people ,
Quality people wapo lakini hawawezi kuteuliwa kwa sababu hawapo CCM au hawapo bungeni !!Kuna watu wanashangaa kila siku majina ya wateuliwa ni yale yale na kumlaumu Rais .
Idadi ya watanzania inakaribiana na South Africa,na UK.
Lakini wenzetu wana vichwa,wanaweza kuunda mabaraza ya mawaziri hata manne
Tukubali sisi uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo,tuko milioni 60+ ila kati ya hao ,watu wa maana kabisa hawazidi milioni 1
Tubadilike tuache ujinga tujisomee tuongeze maarifa
Kingine sheria ibadilishwe mawaziri isiwe lazima kuwa wabunge ,huku mtaani kunawatu wanaojitambua lakini hawako kwenye siasa wala ubunge na wanaweza kusaidia nchi wakiwa mawaziri
Au itungwe sheria mbunge awe na minimum qualification degree au diploma,sio bunge limejaa akina Babu Tale,Lusinde na Msukuma mnalalamika recycling ya mawaziri
Watanzania tuaje ujinga tujenge utamaduni wa kuwa serious
Hebu niambie ukiacha Dk Kimei kuna mbunge gani ana sifa za kuwa Rais
Hata wewe ungekuwa Rais ungerudisha makapi hayohayo
We dont have quality people ,
Haswaaa !Sidhani kama eti tofauti na hawa hakuna wengine wanaoweza kushika nafasi za uwaziri. Hapa nachokiona rais anaangalia watu wake ambao anaelewana na kuaminiana nao
Kwanza wewe ni fala... si tusi ni sifa hiyooKuna watu wanashangaa kila siku majina ya wateuliwa ni yale yale na kumlaumu Rais .
Idadi ya watanzania inakaribiana na South Africa,na UK.
Lakini wenzetu wana vichwa,wanaweza kuunda mabaraza ya mawaziri hata manne
Tukubali sisi uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo,tuko milioni 60+ ila kati ya hao ,watu wa maana kabisa hawazidi milioni 1
Tubadilike tuache ujinga tujisomee tuongeze maarifa
Kingine sheria ibadilishwe mawaziri isiwe lazima kuwa wabunge ,huku mtaani kunawatu wanaojitambua lakini hawako kwenye siasa wala ubunge na wanaweza kusaidia nchi wakiwa mawaziri
Au itungwe sheria mbunge awe na minimum qualification degree au diploma,sio bunge limejaa akina Babu Tale,Lusinde na Msukuma mnalalamika recycling ya mawaziri
Watanzania tuaje ujinga tujenge utamaduni wa kuwa serious
Hebu niambie ukiacha Dk Kimei kuna mbunge gani ana sifa za kuwa Rais
Hata wewe ungekuwa Rais ungerudisha makapi hayohayo
We dont have quality people ,
Power cycle “ !! Wenzetu katika Chama !!Hawa wanaoteuliwa kila siku ndio wapo kwenye 'power cycle' ya Ccm, hayo mengine ya uwezo wa kufikiri ni porojo tu.
Tatizo la Waafrika wengi na sasa Watanzania ni uongozi katika ngazi ya Rais kuwa na nia ya kufanya lo lote lile zuri katika viwango vya juu kadri inavyowezekana (excellence). Tanzania hivi sasa inafanya kama vile Tanzania Football Federation itake kushiriki kwenye Football World Cup ikaamua kutuma timu ya Ihefu kwa sababu TFF wanaipenda na wakategemea itarudi nyumbani Tanzania na Ushindi. Na uongozi wa nchi vile vile unafanywa ili mradi zamu ipite. Ukiandika barua Ikulu kesho uitume kwa EMS ukipata hata mrejesho wa kukiri kuwa barua imepokelewa hesabu kuwa ni muujiza! Haya Kumbe hili ndilo jambo la "aeiou"kwenye utawala.Viwango hivi vya utawala tulishafikia ila tunarudi nyuma. Sasa mawasiliano kwenye Serikali za Mitaa yatakuwa kiwango gani? Huko kwenye elimu ya shahadi ni mbali mno. Anza na basics.Kuna watu wanashangaa kila siku majina ya wateuliwa ni yale yale na kumlaumu Rais .
Idadi ya watanzania inakaribiana na South Africa,na UK.
Lakini wenzetu wana vichwa,wanaweza kuunda mabaraza ya mawaziri hata manne
Tukubali sisi uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo,tuko milioni 60+ ila kati ya hao ,watu wa maana kabisa hawazidi milioni 1
Tubadilike tuache ujinga tujisomee tuongeze maarifa
Kingine sheria ibadilishwe mawaziri isiwe lazima kuwa wabunge ,huku mtaani kunawatu wanaojitambua lakini hawako kwenye siasa wala ubunge na wanaweza kusaidia nchi wakiwa mawaziri
Au itungwe sheria mbunge awe na minimum qualification degree au diploma,sio bunge limejaa akina Babu Tale,Lusinde na Msukuma mnalalamika recycling ya mawaziri
Watanzania tuaje ujinga tujenge utamaduni wa kuwa serious
Hebu niambie ukiacha Dk Kimei kuna mbunge gani ana sifa za kuwa Rais
Hata wewe ungekuwa Rais ungerudisha makapi hayohayo
We dont have quality people ,
Hoja hii inamashiko mkuu. Darasa lasaba kwakweli wasiingie kutunga sheriaAu itungwe sheria mbunge awe na minimum qualification degree au diploma,sio bunge limejaa akina Babu Tale,Lusinde na Msukuma mnalalamika recycling ya mawaziri