Refa ashangilia goli la Yanga

Nimerefer hiyo sample kuonyesha refa kushangilia sio ishu ya kuanzishia uzi, niliyemtaja huwezi kumjua kwakuwa umeanza kufatilia mpira mbappe akizungumzwa,
 
Nimerefer hiyo sample kuonyesha refa kushangilia sio ishu ya kuanzishia uzi, niliyemtaja huwezi kumjua kwakuwa umeanza kufatilia mpira mbappe akizungumzwa,
Mzee, nimeshakuambia Mbappe simjui kama mchezaji zaidi ya mkimbiaji!

Kama umeshamshuhudia Claudio Tafareli akiwa uwanjani live, basi tunaweza jadili mpira...

Kama unamfahamu Lilian Thuram akiwa live kwenye ground, basi tunaweza jadili mpira.

Kama uliwahi kuona pambano la Tyson na Bruno live, basi tuzungumze mpira...

Kama uliona live Bafana Bafana na Misri, mwarabu anakufa, sitakutajia mwaka...McFish uwanjani.

Mimi ni mtoto wa juzi ila nimeanza kushabikia mpira katika utoto wangu huo na wachezaji wachache walionofanya nifuatilie ligi ya uingereza ni kina Dwight Yorke na Andy Cole.

Tuanzie hapo sasa!
 
Reactions: Tui
Ni ajabu Kocha wa KMC anasifia GSM kwa uchezaji bora.Kinachofichwa kifuani huropokwa mdomoni.
Kallly Ongala amefungua watu wengi macho.
 
Vyote ulivyotaja nimeona, fainali ya afcon Zambia vs Nigeria nimeiona,
 
Vyote ulivyotaja nimeona, fainali ya afcon Zambia vs Nigeria nimeiona,
Ni ngumu kuamini kama umeona live...kuna records mpaka game zenu, ku-google ni dk suu tu.

Kuona kama kuna wachezaji wa maana sana Liverpool ya sasa unatia mashaka makubwa kuwa huijui Liverpool wewe wala ligi ya Uingereza...

Nilikuwa na mzee ambayo ni mshabiki wa Blackburn Rovers, unaweza kudhani kuwa hii Bongo kuna shabiki wa Blackburn Rovers? Na ni shabiki tangu 1986.

Hii Betting na games zimewaingiza wengi kwenye football fanatic...mi nimeachana na ushabiki 2014 baada ya Fergie kuondoka na kuvumilia mauza uza ya Utd kidogo....bado ni shabiki wa Utd ila nisiyejua kikosi cha chochote cha Utd.

Enzi zangu, napanga vikosi vya timu bora 12 za ulaya na mataifa yao, nikijua signing fees zao mpaka academy za timu zao, under 21 etc.
 
Reactions: Tui
Kama ana midadi umakini uko wapi
 
Reactions: Tui
Kama ana midadi umakini uko wapi
Ili kuonesha hakuwa makini, inatakiwa uje utupe makosa yake katika kutafsiri sheria za FIFA katika mechi ya KMC vs Yanga
 
Kwangu ni ngumu kuamini kama nimeona ila wewe unataka nikuamini si ndio? Kama nimeweza kukumbuka goli la Patrick Berger nini cha zaidi unataka? Narudia tena refa kushangilia sio swala la ajabu hadi kuanzishia uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…