Mzee, nimeshakuambia Mbappe simjui kama mchezaji zaidi ya mkimbiaji!
Kama umeshamshuhudia Claudio Tafareli akiwa uwanjani live, basi tunaweza jadili mpira...
Kama unamfahamu Lilian Thuram akiwa live kwenye ground, basi tunaweza jadili mpira.
Kama uliwahi kuona pambano la Tyson na Bruno live, basi tuzungumze mpira...
Kama uliona live Bafana Bafana na Misri, mwarabu anakufa, sitakutajia mwaka...McFish uwanjani.
Mimi ni mtoto wa juzi ila nimeanza kushabikia mpira katika utoto wangu huo na wachezaji wachache walionofanya nifuatilie ligi ya uingereza ni kina Dwight Yorke na Andy Cole.
Tuanzie hapo sasa!