Refa ashangilia goli la Yanga

Refa ashangilia goli la Yanga

Ameona ametoa utetezi wa maana mwenzio! Zaidi anakuuliza umeanza kuangalia mpira lini, nikajua anataka ku-refer mechi za akina Pele labda😄

Mi niliyeacha kushabikia mpira siku za hivi karibuni, hata huyo Mbappe nilimshuhudua kweny WC tu, simuoni kama ni mcheza mpira...sasa sijui huyo aliyemtaja wa Liverpool ndo nani!😀
Nimerefer hiyo sample kuonyesha refa kushangilia sio ishu ya kuanzishia uzi, niliyemtaja huwezi kumjua kwakuwa umeanza kufatilia mpira mbappe akizungumzwa,
 
Mzee, nimeshakuambia Mbappe simjui kama mchezaji zaidi ya mkimbiaji!

Kama umeshamshuhudia Claudio Tafareli akiwa uwanjani live, basi tunaweza jadili mpira...

Kama unamfahamu Lilian Thuram akiwa live kwenye ground, basi tunaweza jadili mpira.

Kama uliwahi kuona pambano la Tyson na Bruno live, basi tuzungumze mpira...

Kama uliona live Bafana Bafana na Misri, mwarabu anakufa, sitakutajia mwaka...McFish uwanjani.

Mimi ni mtoto wa juzi ila nimeanza kushabikia mpira katika utoto wangu huo na wachezaji wachache walionofanya nifuatilie ligi ya uingereza ni kina Dwight Yorke na Andy Cole.

Tuanzie hapo sasa!
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Ni ajabu Kocha wa KMC anasifia GSM kwa uchezaji bora.Kinachofichwa kifuani huropokwa mdomoni.
Kallly Ongala amefungua watu wengi macho.
 
Mzee, nimeshakuambia Mbappe simjui kama mchezaji zaidi ya mkimbiaji!

Kama umeshamshuhudia Claudio Tafareli akiwa uwanjani live, basi tunaweza jadili mpira...

Kama unamfahamu Lilian Thuram akiwa live kwenye ground, basi tunaweza jadili mpira.

Kama uliwahi kuona pambano la Tyson na Bruno live, basi tuzungumze mpira...

Kama uliona live Bafana Bafana na Misri, mwarabu anakufa, sitakutajia mwaka...McFish uwanjani.

Mimi ni mtoto wa juzi ila nimeanza kushabikia mpira katika utoto wangu huo na wachezaji wachache walionofanya nifuatilie ligi ya uingereza ni kina Dwight Yorke na Andy Cole.

Tuanzie hapo sasa!
Vyote ulivyotaja nimeona, fainali ya afcon Zambia vs Nigeria nimeiona,
 
Ni ngumu kuamini kama umeona live...kuna records mpaka game zenu, ku-google ni dk suu tu.

Kuona kama kuna wachezaji wa maana sana Liverpool ya sasa unatia mashaka makubwa kuwa huijui Liverpool wewe wala ligi ya Uingereza...

Nilikuwa na mzee ambayo ni mshabiki wa Blackburn Rovers, unaweza kudhani kuwa hii Bongo kuna shabiki wa Blackburn Rovers? Na ni shabiki tangu 1986.

Hii Betting na games zimewaingiza wengi kwenye football fanatic...mi nimeachana na ushabiki 2014 baada ya Fergie kuondoka na kuvumilia mauza uza ya Utd kidogo....bado ni shabiki wa Utd ila nisiyejua kikosi cha chochote cha Utd.

Enzi zangu, napanga vikosi vya timu bora 12 za ulaya na mataifa yao, nikijua signing fees zao mpaka academy za timu zao, under 21 etc.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Unazungumzia kuhusu 'kushangilia'
Nini maana ya kushangilia?
Je kwenye hiyo mechi umeona refa akipiga makofi baada ya goli? Uliona refa akinyoosha mikono ishara ya kufurahi?

Kilichotokea kwake ni kitu cha kawaida kwa binadamu aliyecheza mpira na ndio maana huko juu kuna mdau ame refer mechi ya Man U vs Liverpool, refarii aliingiwa na midadi ila hakuna hatua alikuja kuchukuliwa. Kikubwa fuata sheria na kanuni pasipo kupendelea.
Kama ana midadi umakini uko wapi
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Ni ngumu kuamini kama umeona live...kuna records mpaka game zenu, ku-google ni dk suu tu.

Kuona kama kuna wachezaji wa maana sana Liverpool ya sasa unatia mashaka makubwa kuwa huijui Liverpool wewe wala ligi ya Uingereza...

Nilikuwa na mzee ambayo ni mshabiki wa Blackburn Rovers, unaweza kudhani kuwa hii Bongo kuna shabiki wa Blackburn Rovers? Na ni shabiki tangu 1986.

Hii Betting na games zimewaingiza wengi kwenye football fanatic...mi nimeachana na ushabiki 2014 baada ya Fergie kuondoka na kuvumilia mauza uza ya Utd kidogo....bado ni shabiki wa Utd ila nisiyejua kikosi cha chochote cha Utd.

Enzi zangu, napanga vikosi vya timu bora 12 za ulaya na mataifa yao, nikijua signing fees zao mpaka academy za timu zao, under 21 etc.
Kwangu ni ngumu kuamini kama nimeona ila wewe unataka nikuamini si ndio? Kama nimeweza kukumbuka goli la Patrick Berger nini cha zaidi unataka? Narudia tena refa kushangilia sio swala la ajabu hadi kuanzishia uzi.
 
Back
Top Bottom