FT: Namungo FC 0-3 Simba SC | NBC PL | 19.02.2025

FT: Namungo FC 0-3 Simba SC | NBC PL | 19.02.2025

holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
1,859
Reaction score
2,986
Katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya NBC, Mabingwa watetezi wa kombe la Muungano Simba SC watashuka dimbani kumenyana vikali kuzisaka alama tatu ugenini dhidi ya Namungo FC mjini Luangwa Lindi majira ya saa 12:30 Jioni

Kila la kheri na mchezo mzuri kwa timu zote mbili.

Updates za vikosi vya timu zote mbili

Kipindi cha pili kimeanza ikiwa dakika,48 bado Simba wapo mbele ya goli 1 kwa 0 Dhidi ya Namungo

Dakika, 55 Simba wanamiliki mpira na mashambulizi

Simba wanalisakata soka safi na wanaogoza goli 2 hadi sasa

Dakika,63 Mchezo umekuwa wa kasi sana kwa timu zote 2

1739976478070.png

1739976439353.png
 
Usiku wa kuamkia jana ulileta uzi kama huu kua mechi ni jana nikakukosoa ukajibu ovyo, sometimes ujuaji hua ni kuwapa watu faida ya kujua aina na kiwangocha vitu ulivyohifadhi kichwani mwako; tukubali kurekebishwa!
Hehehehehehehehehehe!!!!!!!!!!!!!!
Akanipotosha hadi na mimi
 
Hehehehehehehehehehe!!!!!!!!!!!!!!
Akanipotosha hadi na mimi
Tumebishana sana jana baadae ikabidi nikae tu kimya maana kila mtu akawa ananishambulia Mimi nikajiuliza tu swali mbona ni rahisi tu kujua ratiba kupitia Instagram pages za Azam Tv, timu husika na hata bodi ya ligi, kwanini mtu anakua na haraka ya kuja kupost bila kujirudhisha kwanza?!, Hilo nalo hadi tusubiri wachambuzi kweli?!...end of the day uzi wa hiyo mechi ukafutwa nadhani walijua kuna kitu hakipo sawa
 
Mi nilijua wewe hujui kwamba siku inabadilika saa sita nikakuona mjinga sana na Fala asiye na elimu
 
Mi nilijua wewe hujui kwamba siku inabadilika saa sita nikakuona mjinga sana na Fala asiye na elimu
Ulikosea sana Mkuu kwasababu hivi vitu viko wazi kabsa na jamaa aliandika tarehe ya mechi kua ni 18.02.2024 kitu ambacho hakikua sahihi kabsa. Lakini amekiri mwenyewe kua alipitiwa, tusameheane na tuendelee na mengine
 
Nikikumbuka jinsi akivyoulizia hoja zako za kupinga kuwa mechi sio jana nacheka tu!!!!!!
 
Back
Top Bottom