Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ungekuwa wewe ndiye moderator ungenipiga ban kabisa, Active atanisaidia kuleta updates usijali,kikubwa mtoe draw tu!Usiishie kuanzisha uzi ukaona Sifa, toa updates,Vikosi na matukio muhimu
Kama wanavyofanya Scars Vincenzo Jr ngara23 .Kwanza uzi wako umekaa kishabiki Kalpana OKW BOBAN SUNZU
naomba Moderator Payge Active watusaidie kuangalia haya,hii sio mara ya Kwanza wewe kuanzisha Uzi ukaulelekeza. ukishindwa leo uzuiwe kuanzisha nyuzi za mpira live.
Hii imekaa vizuri ili kubalance mambo. Maana hata wenyewe wana tabia ya kuanzisha nyuzi za Yanga, huku wakiwa ni vijana wa Rage.alafu nimegundua mnanishambulia sana wakuu! Sijui shida nini,au kuwa mnazi wa Young Africans ?
Huna unachokijua kichwa chako kimejaa funza hata mpira wenyewe umeanza kufuatilia juzi tu.sikufuatilia ratiba rasmi ya bodi ya ligi,niliandika kimazoea. Samahani,turudi kwenye uzi wetu.
Naunga mkono hoja. Leo kuna timu inaenda kupewa pointi 3 na magoli ya kutosha, bure kabisa! Ni vizuri Takukuru wakawahi eneo la tukio.Simba vs Namungo ya mgunda. Tff na TAKUKURU fuatilieni kwa ukaribu
I second u....🤣🤣🤣GSM asituingilie hata kama yeye ni mdhamini...tutamchapia mtu wake kama tunavyowachapa watoto wake wengine...
yeyote anaweza kuanzisha uzi mkuu,ili mradi tu ukidhi vigezo na uwawahi wenzio, sasa natangaza vita,nitakuwa silali mpaka nihakikishe nakuwa wakwanza kila mchezo wa NBC PL hasa mechi za SIMBA na YANGAHalafu unaanzishaje uzi timu haikuhusu??? Kutuletea nuksi tuu
Una laana ya baba ako ndo maana hata tarehe za mechi unasahau.mengine mkuu tunayaleta kwa lengo la kuufungua macho uma katika maswala magumu yanayowakabili. Mimi nikaona nijivike uhusika wa kumchukia mdingi ili ujumbe ufike kiurahisi. Sijui umenielewa The Legacy ?
Mbona chache sana! Labda kama mwamuzi atakuwa siyo Tatu Malogo.Simba anashinda kesho kwa Goli 3
Halafu hawa mazombi wanaokimbilia kupost live updates za mechi hua wala hawatoi time to time updates, unashangaa tu wanaweka full time results. Hopeless kabisa... kuna mwamba mmoja anaitwa Vicenzo nadhani ndo hua anatoa updates.... Hawa wengine magamblish tu..Tumebishana sana jana baadae ikabidi nikae tu kimya maana kila mtu akawa ananishambulia Mimi nikajiuliza tu swali mbona ni rahisi tu kujua ratiba kupitia Instagram pages za Azam Tv, timu husika na hata bodi ya ligi, kwanini mtu anakua na haraka ya kuja kupost bila kujirudhisha kwanza?!, Hilo nalo hadi tusubiri wachambuzi kweli?!...end of the day uzi wa hiyo mechi ukafutwa nadhani walijua kuna kitu hakipo sawa
Misimu mitatu mfululizo simba hajawahi kushinda majaliwa stadium dhidi ya namungo wanakuwaje ndugu?Mechi ya mjomba na mtoto wa dada
Tulia wewe! Mbona na nyinyi kwenye mechi zetu huwa mnatuanzishia?Halafu unaanzishaje uzi timu haikuhusu??? Kutuletea nuksi tuu
Yasipopatikana hayo magoli ya kutosha tukufanyaje?Naunga mkono hoja. Leo kuna timu inaenda kupewa pointi 3 na magoli ya kutosha, bure kabisa! Ni vizuri Takukuru wakawahi eneo la tukio.
Ni vile tu hambebeki wakati fulani. Ila mwaka huu nadhani mnajitahidi kubebeka. Imagine kwenye mechi 20, penati 16! Na leo tunategemea ziongezeke tena ili Ateba aongoze kwenye ufungaji bora.Misimu mitatu mfululizo simba hajawahi kushinda majaliwa stadium dhidi ya namungo wanakuwaje ndugu?
Hamna cha kunifanya, ila mimi ndiyo nina uwezo wa kuwageuza kuwa mijusi.Yasipopatikana hayo magoli ya kutosha tukufanyaje?