FT: Namungo FC 0-3 Simba SC | NBC PL | 19.02.2025

FT: Namungo FC 0-3 Simba SC | NBC PL | 19.02.2025

Leo nataka kushuhudia kwa macho yangu maigizo ya Bongo muvi. Yaani Mgunda huyu huyu kocha wetu wa akiba, akubali timu yetu kufungwa! Hata sare tu haipo kwenye mechi ya leo.

Kwa wale wazee wa kubet, hakika leo ni siku yenu ya kuvuna hela. Mpe Simba mazima hata milioni 2. Na hutojutia.
Naona unajaribu kuelezea kinamna ufedhuli mnaofanya Utopoloni
 
katika mwendelezo wa lLeague ya NBC PL, Mabingwa watetezi wa kombe la Muungano Simba SC watashuka dimbani kumenyana vikali kuzisaka alama tatu ugenini dhidi ya Namungo FC mjini Luangwa Lindi majira ya saa 12:15 jioni

Adui mwombee njaa.
We mbwiga kumbe ni wewe unayemchukia baba yako halafu unatuletea na ugoro humu. Huo muda wa kupost anza kumpenda baba yako kwanza... JF ni darasa..
Screenshot_20250219_084642.jpg
 
Ni vile tu hambebeki wakati fulani. Ila mwaka huu nadhani mnajitahidi kubebeka. Imagine kwenye mechi 20, penati 16! Na leo tunategemea ziongezeke tena ili Ateba aongoze kwenye ufungaji bora.
Jibu hoja kama ni tawi kwanini misimu mitatu mfululizo hatujashinda? Tena tulikuwa tunatangulia kufunga wao ndo wanachomoa?
 
mgunda ni sehemu ya simba,na ni mwanachama halali tangu anaichezea tawi la simba Coastal union ya tanga miaka ya 1980`s na namungo ni timu ya waziri mkuu na mnazi wa simba sc. Kuna wachezaji kama erasto nyoni,goal keeper kakolanya na wachezaji waandamizi ni masalia ya simba, so namungo kipgo hakiepukiki, kutokea juu,chini,kushoto, kulia,mbele nyuma ni kipigo. HONGERENI watani kwa ushindi mnono.
 
Leo nataka kushuhudia kwa macho yangu maigizo ya Bongo muvi. Yaani Mgunda huyu huyu kocha wetu wa akiba, akubali timu yetu kufungwa! Hata sare tu haipo kwenye mechi ya leo.

Kwa wale wazee wa kubet, hakika leo ni siku yenu ya kuvuna hela. Mpe Simba mazima hata milioni 2. Na hutojutia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaogopa nn? Si uko kileleni wee? Hujiamini?
 
mgunda ni sehemu ya simba,na ni mwanachama halali tangu anaichezea tawi la simba Coastal union ya tanga miaka ya 1980`s na namungo ni timu ya waziri mkuu na mnazi wa simba sc. Kuna wachezaji kama erasto nyoni,goal keeper kakolanya na wachezaji waandamizi ni masalia ya simba, so namungo kipgo hakiepukiki, kutokea juu,chini,kushoto, kulia,mbele nyuma ni kipigo. HONGERENI watani kwa ushindi mnono.
SBS
 
Jana hadi nilipokutumia ile screenshot inayoonyesha mpira ni lini na wapi ndio naona ukatulia.

Sasa MwanaUto kama umeamua kurusha mechi ya wanaume naomba upost mchezo kama ulivyo na magoli yote uyatangaze sio ufungue uzi halafu usitangaze magoli kisa yamefungwa na Simba kumbuka kuna watu hawataangalia mpira watategemea updates kutoka kwako.
 
Back
Top Bottom