Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Tunataka apange kikosi cha kwanza...huo ndo weledi...apenge kikosi kinachocheza siku zote..Simba inakimbilia ubingwa hatutaki kikosi cha tatu...hiko sio saizi yetu..akipanga hiko basi nitaona ni maigizo...Leo nataka kushuhudia kwa macho yangu maigizo ya Bongo muvi. Yaani Mgunda huyu huyu kocha wetu wa akiba, akubali timu yetu kufungwa! Hata sare tu haipo kwenye mechi ya leo.
Kwa wale wazee wa kubet, hakika leo ni siku yenu ya kuvuna hela. Mpe Simba mazima hata milioni 2. Na hutojutia.
Otherwise kipigo kipo pale pale