FT: Namungo FC 0-3 Simba SC | NBC PL | 19.02.2025

FT: Namungo FC 0-3 Simba SC | NBC PL | 19.02.2025

Kwa namna NAMUNGO inavyocheza defensive game ...
HII mech ni ngumu sana kwa SIMBA
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Hii mechi imewakataa Ngoma na Janshalewa. Wakiendelea na hii game, Simba itapata shida.
 
Kapombe
Chasambi
Kibu kama yupo
Ade....
Wafungajiw a leo
 
Huyu mwamuzi kuna timu anaibeba bila hata chembe ya aibu!! Hivi hizi takataka huwa zinaokotwa wapi kuchezesha mechi za timu moja tu!!
 
Back
Top Bottom