holoholo
JF-Expert Member
- May 10, 2023
- 1,859
- 2,986
- Thread starter
- #21
mengine mkuu tunayaleta kwa lengo la kuufungua macho uma katika maswala magumu yanayowakabili. Mimi nikaona nijivike uhusika wa kumchukia mdingi ili ujumbe ufike kiurahisi. Sijui umenielewa The Legacy ?Huyo dogo anamchukia baba yake we utamuweza,hashauriki wala haambiliki.