Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Hv kweli mnatoaga point kwa kufikiria au mapenz ya timu. Nafikiri tujaribu kufikiria jinsi ya kuwekeza tupate marefa wenye afadhali coz ht huko ulaya wenya akili na mafanikio kuliko sisi waliliona Hilo ndio maana wakaamua kuja na VAR.Simba ndiyo inaifanya ligi ya NBC msimu huu chini ya tff ya karia kuwa ‘most corrupted league’ kwenye sayari hii na sijui ni kwanini NBC wamejiingiza kudhamini wizi na ifisadi kama huu,
Haya huyo hapo anamsukuma kabla ya mpira kumfikia.Kapombe hakuguswa wala kusukumwa kwa marudio yalivyooneshwa na Azam TV, alijiangusha na hakugusana na mchezaji wa GGM. Pia mchezaji wa GGM hakuotea kwani Kapombe alikuwa katikati ya kipa na mchezaji wa GGM.
Amekuwa mimi tena.Martin Sanya wewe siobure Kuna kitu unatumia ukiwa umejificha
Hapo simba anakua amezidiwa point 3
Hapo simba anakua amezidiwa point 3
Yanga=Michezo 6x3 =18Hesabu ya wapi hiyo Mkuu? Tofauti ya sasa ni point mbili tu,assume kwa hiyo scenario Simba angetoa sare maana yake angekuwa na point 16, Yanga angepoteza kwa Namungo angekuwa na point 16 pia.Hapo tofauti ingekuwa ni magoal tu.
Mkuu hata kuhesabu vijiti huwezi?Hesabu ya wapi hiyo Mkuu? Tofauti ya sasa ni point mbili tu,assume kwa hiyo scenario Simba angetoa sare maana yake angekuwa na point 16, Yanga angepoteza kwa Namungo angekuwa na point 16 pia.Hapo tofauti ingekuwa ni magoal tu.