Refa Martin Saanya adaiwa kuwabeba Simba kwenye mechi dhidi ya Geita Gold

Refa Martin Saanya adaiwa kuwabeba Simba kwenye mechi dhidi ya Geita Gold

Nawasubili tena apa wale wanaojifanyaga wanaumizwa na upuuzi wa marefa pindi yanga inapobebwa sasa wajitokeze tena kukemea kilichotokea kwenye mechi ya simba na geita gold, je goli la kusawazisha la geita limekataliwa kwa misingi ipi? Mchezaji aliotea au kapombe alisukumwa? Jibu analo mwamuzi martini sanya!!!!!
Tunamshutumu refa, lakini yamkini alikua sahihi, ni mapungufu ya review za video za azam,
Angalia tena hii video then ndio ujaji
IMG-20211202-WA0037.jpeg
 
Walokataliwa goli ni Geita gold, wewe shabki wa Yanga unaumizwa na nini? Tena lilikuwa goli la kusawazisha ambalo ambalo hata wangepewa bado Simba isingepoteza ule mchezo bali wangetoa droo! Vipi kuhusu ile penati mlopewa kule Lindi dhidi namungo kama msingepewa ingekuwaje...
tunachosema refa ni binadamuu, penalt ya wananchi makolo fc mlipiga sana kelele!!jana wananchi nao wanapiga kelele!!so relax tar 11 tuone soka!!maana hizi team mbili ie makolo fc na wananchi wanabebwa sanaa!!wanaharibu ligi yetu nzuriii
 
Unajua hata mimi mwanzo kwa haraka haraka nilivyoangalia lile goli sikujiuliza mara mbili nikasema hili ni goli halali

Lakini leo nilikua na play ile clip katika angle zote, ukianagalia katika view za camera zilizo nyuma ya goli hutaona physical contacts yeyote...
Dah! Mkuu umechambua kama Jaji upo pale Kisutu/ Mahakama ya mafisadi kisha uka conclude kua hoja haina mashiko, itupwe😂😂😂
 
tunachosema refa ni binadamuu, penalt ya wananchi makolo fc mlipiga sana kelele!!jana wananchi nao wanapiga kelele!!so relax tar 11 tuone soka!!maana hizi team mbili ie makolo fc na wananchi wanabebwa sanaa!!wanaharibu ligi yetu nzuriii
Hebu acha huo uchakachuaji !
Tanzanzania hatuna timu inayoitwa Makolo wala Wananchi, hata ukitafta kwenye kamusi za kiswahili au kiingereza hakuna popote ilipoandikwa Simba manake Makolo au Yanga mana yake wananchi!
Hebu tusibiri hiyo tarehe 11 tayari kuna msemo umeshashika chati kwamba siku hiyo ndo mtajua hamjui!
 
Nawasubili tena apa wale wanaojifanyaga wanaumizwa na upuuzi wa marefa pindi yanga inapobebwa sasa wajitokeze tena kukemea kilichotokea kwenye mechi ya simba na geita gold, je goli la kusawazisha la geita limekataliwa kwa misingi ipi?

Mchezaji aliotea au kapombe alisukumwa? Jibu analo mwamuzi martini sanya!!!!!
Kapombe hakuguswa wala kusukumwa kwa marudio yalivyooneshwa na Azam TV, alijiangusha na hakugusana na mchezaji wa GGM. Pia mchezaji wa GGM hakuotea kwani Kapombe alikuwa katikati ya kipa na mchezaji wa GGM.
 
Hebu acha huo uchakachuaji !
Tanzanzania hatuna timu inayoitwa Makolo wala Wananchi, hata ukitafta kwenye kamusi za kiswahili au kiingereza hakuna popote ilipoandikwa Simba manake Makolo au Yanga mana yake wananchi!
Hebu tusibiri hiyo tarehe 11 tayari kuna msemo umeshashika chati kwamba siku hiyo ndo mtajua hamjui!
Nakubaliana na huo msemo kuwa makolo fc watajua hawajui!!nenda Bakita kaulize nina uhakika wana hyo misemo ya MAKOLO FC
 
Tunamshutumu refa, lakini yamkini alikua sahihi, ni mapungufu ya review za video za azam,
Angalia tena hii video then ndio ujajiView attachment 2030309View attachment 2030310
Hakuna camera yoyote ya Azam inayoonesha tukio la video kwa namna hiyo. Hizo ni picha mgando zinazosambazwa na mashabiki mitandaoni. Baada ya kuona kuona hii picha yako ilinifanya niingie youtube pengine nitakutana na mgusano wa namna hiyo ili nijiridhishe kuwa kuna mgusano ila cha ajabu nakuta mtu kaweka caption ya video ya namna hiyo halafu ukija ku play ili uone. Unakuta video haioneshi kama alivyoiweka caption ya picha mnato. Kama uamini basi tafuta hiyo video halafu inaonesha tukio kama ilivyo kwenye hiyo picha ilivyoonesha iweke hapa hiyo video. Utatafuta hauwezi kuipata video ya hiyo picha iliyopostiwa hapo.

Kuna mapungufu kwa upande wa camera za Azam hilo lipo wazi kuna utata mwingine wa offside inatakiwa uamuliwe kwa camera za angle tofauti tofauti lakini pia wanaokataa mchezaji hawezi kudondoka mwenyewe basi sio wafuatiliaji wa mipira. Mchezaji anaweza kuruka juu kisha akarudi chini vibaya. Sijasema kama Kapombe hakuchezewa faulo au lah. Ila nachoona kwenye replay zote ni kwamba hakuna physical contact baina yao na wameachana kwa umbali
 
Tunamshutumu refa, lakini yamkini alikua sahihi, ni mapungufu ya review za video za azam,
Angalia tena hii video then ndio ujajiView attachment 2030309View attachment 2030310
Hiyo ni picha ukija na video linaloonesha tukio lipo hivyo nakuahidi elfu 50 nakupa. Nimeiona caption nyingi youtube wanaweka picha ya namna hiyo ila uki play video haioneshi physical contact yoyote ile. Njoo na video yake mkuu kuna elfu 50 hapa
 
Unajua hata mimi mwanzo kwa haraka haraka nilivyoangalia lile goli sikujiuliza mara mbili nikasema hili ni goli halali

Lakini leo nilikua na play ile clip katika angle zote, ukianagalia katika view za camera zilizo nyuma ya goli hutaona physical contacts yeyote

Ila ukiangalia kupitia camera ambazo zilikua zina shoot uelekeo wa goli alilokua analinda manula utapata kuona kua kuna mgusano kati ya kapombe na huyo kibopa

Kwa hiyo ni ushauri wangu kuwa naungana na wenzangu kua hoja za wenzetu hazina mashiko na zitupiliwe mbali kwani hazijajikita katika utafiti zimejengeka kimhemko

Tupe hiyo video iliyochukua angle uelekeo wa goli ili tuone huo mgusano
 
Sio kusukumwa tena sasaiv imekua offside [emoji3][emoji3]
Kama mwanasimba unakaa unaamini maneno matupu pasipo kuhoji ushahidi basi utakuwa na mahaba yaliyojaa. Hii ni youtube video, kama hao wachambuzi kama wameona kuwa kuna angle inaonesha physical contact ya mfungaji goli na Kapombe kwanini hawakuambatanisha kwenye hiyo video ili watu wajionee? Yaani wanaishia kuongea tu bila ushahidi wa video ikionesha hiyo contact. Uchambuzi wa namna hiyo haupo labda kwa soka letu la bongo la kimagumashi.
 
Back
Top Bottom